Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Inategemea kocha amempangia majukumu gani uwanjani na anataka acheze vipi kulingana na mifumo yake na timu anayocheza nayo, jukumu mama la kiungo mkabaji ni kukaba na kuwapunguzia kazi mabeki, ndo maana timu inapokosa kiungo mkabaji aliyekamilika safu yake ya ulinzi inakuwaga uchochoro, jukumu la kufunga iyo ni ziada na wala awezi kuulizwa kuwa kwanini ujafunga ilimradi kazi yake kule nyuma ameifanya kwa ubora wakeTrent wa liver nafasi yake uwanjani ni ipi na ana magoli mangapi?
Kuambiwa ukweli ndio unarusha ngumi!Sijawai kuona tahahira na pimbi kama wewe, unahoji magoli aliyofunga bigirimana niambie anacheza namba ngapi uwanjani? Nini kazi halisi ya kiungo mkabaji? Majukumu yake ni yapi? Unaporopoka Kama umekatika kichwa uwe unatafakari kwanza unachoongea mbele ya watu wenye akili timamu
Umempeleka mbali sana, muulize tu Feisal wao anacheza nafasi gani na ana magoli mangapi?Trent wa liver nafasi yake uwanjani ni ipi na ana magoli mangapi?
Kuchambua soka hamuwezi endeleeni na draft.View attachment 2285701
Kwa uchache saana
Henderson ana goli ngapiTrent wa liver nafasi yake uwanjani ni ipi na ana magoli mangapi?
Acha ujinga wewe tokea msimu huu uanze Feisal asilimia 95 ya mechi amecheza Kama namba 10, mechi chache Sana kacheza Kama namba 6 na iyo ni Kama bangala na mauya awapo au wamepata dharura, kwaiyo tafuta reference nyingine na sio iyo, alafu aliyekwambia yanga imemsajili bigirimana kama mfungaji ni nani? Yule ni kiungo mkabaji habari za kufunga wapo wanaofanya iyo kazi akifunga sawa na asipofunga sio jukumu lake ilo sisi tunachotaka kuona ni anayafanya vipi majukumu yake kwrnye eneo la ulinzi baaasi ayo mengine ni ya kwenuUmempeleka mbali sana, muulize tu Feisal wao anacheza nafasi gani na ana magoli mangapi?
Kweli Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu! Kwani Yannick Bangala, Khalid Aucho au Sure Boy wana/wamechangia magoli mangapi msimu huu?Utopolo wamepata mbadala sahihi wa Surpong
Hawa watani wetu kiukweli wanastahili kabisa kuitwa mbumbumbu. Yaani wao ni kukurupuka kwa kwenda mbele. Halafu ubishi na ujuaji ndiyo jadi yao.Acha ujinga wewe tokea msimu huu uanze Feisal asilimia 95 ya mechi amecheza Kama namba 10, mechi chache Sana kacheza Kama namba 6 na iyo ni Kama bangala na mauya awapo au wamepata dharura, kwaiyo tafuta reference nyingine na sio iyo, alafu aliyekwambia yanga imemsajili bigirimana kama mfungaji ni nani? Yule ni kiungo mkabaji habari za kufunga wapo wanaofanya iyo kazi akifunga sawa na asipofunga sio jukumu lake ilo sisi tunachotaka kuona ni anayafanya vipi majukumu yake kwrnye eneo la ulinzi baaasi ayo mengine ni ya kwenu
Kwa hiyo kila mchezaji anatakiwa awe kama huyo Trent wako wa liver! Acheni kujifedhehesha bhana.Trent wa liver nafasi yake uwanjani ni ipi na ana magoli mangapi?
Siyo mbaya! Mbona hata Habib Kiyombo naye nasikia alishawahi kuchezea Mamelod Sundowns ya Mbalizi Mbeya.Ili mradi kashacheza ulaya mengine tunawaachia uto
Maswali ya kidwanzi haya.Yanga sijui wamewaza nini??!!!
Na wewe nenda kwa kimada wa Mudi, Barbara akakupe hizo fedha za bure kama ni rahisi kiasi hicho.huyu anakuja kuchukua fedha za bure
Mzamiru anacheza nafasi gani ?Umempeleka mbali sana, muulize tu Feisal wao anacheza nafasi gani na ana magoli mangapi?
Hakuna mchezaji humu, huyu ni Maguire wa BurundiView attachment 2285701
Kwa uchache saana