Katika michezo 32 aliyocheza Bigirimana akiwa Newcastle alifunga goli 1

Kuna member mmoja humu alisema kuwa hii mainstream imejaa mabogus sasa nimeanza kuamini.

Watu wa Yanga bwana😂
 
Huyo sio mchezaji wa kufunga ni mchezaji wa kukaba
Hata mpira wa kumgonga kisogoni tu kwa kipa kukosea nalo hamna? Mbona Djuma ana magoli 3 na ni beki?
Hakina Lwanga , Mkude , kanoute , Fraga n.k wanafunga magoli kwani wao siyo viungo wakabaji?
 
Hata mpira wa kumgonga kisogoni tu kwa kipa kukosea nalo hamna? Mbona Djuma ana magoli 3 na ni beki?
Hakina Lwanga , Mkude , kanoute , Fraga n.k wanafunga magoli kwani wao siyo viungo wakabaji?
Mascherano ana goli ngapi career yake yote
 
mikaa 28 kijana kukaa ulaya kwenye hali nzuri kifedha hapendi,anaona bora kuja mashariki mwa africa ndipo anapoona kuna hali nzuri kifedha kuliko uko ulaya alikokuwa anacheza......Pogba anamiaka 29 bado anakaza tu kuzunguka vilabu vya ulaya ila mburundi uyo karidhika kweli kuja kwetu Tanzania
 
Haya ni mafanikio makubwa mno kwenye soka letu.
 
Vipi Shomari kapombe, Farid Mussa, Haruna Moshi, Dennis Oliechi too many to mention
 
Vipi Shomari kapombe, Farid Mussa, Haruna Moshi, Dennis Oliechi too many to mention
hao hawakuwahi kuchezea ligi kuu ya Eng,kama vitimu vidogo vidogo ulaya sawa lakini sio kwa Newcastle ilivyo timu kubwa
 
achilia mbali kufunga ,hata assits ?
 
Hii Biringanya utopolo wanampiga make up sana ila takwimu zake ni miyeyusho, kaze anawasomba warundi wenzie waje wale pesa za magodoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…