Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Naongelea Urban Areas, achana na vijiji. Linapokuja suala la maeneo ya mijini sijaona mji wa kijani kama Moshi.
Moshi kuna miti aisee. Unajua kama kule Mbeya sehemu walikojenga wakoloni kuna miti mingi na pa kijani sana, lakini mitaa mingi mipya ambayo wabongo tumejenga tumekata miti mno. Ila huku Moshi hadi maeneo yaliyojengwa na wabongo bado wamezingatia miti na vibustani nje ya majengo.
Kama mtu anayependa miji yenye ukijani ndani yake, nimepapenda sana Moshi
Ukitoa Moshi mji mwingine nilioupa salute kwa ukijani ni Arusha
📷 Moshi Urban