Na kupunguza vumbi kwa mikoa yenye vumbi.Ifike hatua na miji mingine wa encourage watu kupanda miti na bustani. Inasaidia miji kupunguza mwonekano wa hovyo
Na kupunguza vumbi kwa mikoa yenye vumbi.Ifike hatua na miji mingine wa encourage watu kupanda miti na bustani. Inasaidia miji kupunguza mwonekano wa hovyo
Njombe ni wapi kuna miti pale mjini? Au kule ofisi mpya ya mkuu wa mkoa?😅Moshi na Njombe
Kuna sheria ya ukataji wa miti upo ila huku usukumani ni kama wana sheria zao
Hivi same napo ni moshi?
Halmashauri hizi zinazonuka rushwa ndiyo zisimamie sheria za mazingira hawa wanawaza wakamate wakata mbao na mkaa wapewe chao maisha yasongeHalmashauri zisimamie sheria za mazingira ndogo ndogo za mazingira.
Hawa nawamudu mkuu nimeishi nao toka 1967 so hawanipi tabu nawajua nje ndani mazuri na mabaya yaoMkuu wasukuma wanakuja kwa kasi ya ajabu kushambulia huu uzi wako..
Inawezekana maana hawa ndugu zetu wameshakuwa kama wachina wametapakaa kila kona ya nchi haswa sehemu zenye ardhi yenye rutuba na malisho na kama unanavyojua ndugu zetu kazi Yao kilimo ufugaji na madiniKwa hiyo kuna uwezekani hata Mbeya ile miti ni wasukuma ndio wamekata 😅
Moto kwa maana ganiBinafsi napenda moto aseeh na ukijani aseeh ndo furaha yangu Niko kama Wangari wa Kenya cc secretarybird
Miti sorryMoto kwa maana gani
Same ,mwanga, rombo , hai , sia, moshi mjini , moshi vijijini, hizo ni wilaya za mkoa wa KilimanjaroHivi same napo ni moshi?
Same ,mwanga, rombo , hai , sia, moshi mjini , moshi vijijini, hizo ni wilaya za mkoa wa Kilimanjaro
RIP Wangari Mathai.Binafsi napenda moto aseeh na ukijani aseeh ndo furaha yangu Niko kama Wangari wa Kenya cc secretarybird