Ndo nlikua nakuuliza wewe ili watu wasiseme unapasafia sababu we ni wa hukoSio origin ya wachaga?
Ifike hatua na miji mingine wa encourage watu kupanda miti na bustani. Inasaidia miji kupunguza mwonekano wa hovyo
Ifike hatua na miji mingine wa encourage watu kupanda miti na bustani. Inasaidia miji kupunguza mwonekano wa hovyo
Hilo la kupenda miti Kilimanjaro nawapa 100Kabisa kule watu hata kama nyumba yake ni ya kawaida ila atapanda maua kuanzia njia ya kuingilia nyumanbani miti ya matunda na ya asili kwa hiyo kinakuwa ubaridi, hewa safi kutokana na miti.
Wasukuma ni watu wa hovyo kuwahi kutokea Duniani,hawa watu ustaarabu wao ni zero kabisa.Mabingwa wa kukata miti hovyo hovyo ni Wasukuma si kwa ubaya lakini ila Wasukuma kwa kukata miti hovyo hovyo ni hatari
Mabingwa wa kukata miti hovyo hovyo ni Wasukuma si kwa ubaya lakini ila Wasukuma kwa kukata miti hovyo hovyo ni hatari
Hilo silipingi aisee sisi kwa uharibifu wa mazingira ni no moja na sababu ya kukata miti ni kwa ajiri ya kilimo na kupikia.Mabingwa wa kukata miti hovyo hovyo ni Wasukuma si kwa ubaya lakini ila Wasukuma kwa kukata miti hovyo hovyo ni hatari
Hilo halina ubishi mimi nimeingia nchini mwaka 1967 nikiwa mdogo wa miaka 7 tulifikia geita tarafa ya Sengerema kuja mpaka miaka ya 2000 kulikuwa ni mapori yaani mistu minene nimekuja kurudi huko naona ni mawe tu, pamekuwa jangwa hawa ndugu zetu bila kuwadhibiti itakuwa kila kona wanakopita wanaacha jangwaWasukuma ni watu wa hovyo kuwahi kutokea Duniani,hawa watu ustaarabu wao ni zero kabisa.
Na ukitaka kujia hilo,kwa mnayoijua Katavi kabla wasukuma hawajaingia na leo hii Katavi yenye wasukuma ni vitu viwili tofauti kabisa.Na mbaya zaidi Serikali yetu hata haijushughulishi.
Wasukumwa wasipoangaliwa vizuri wataharibu maeneo yote Tanzania na kuleta ukame.
Kuna sheria ya ukataji wa miti upo ila huku usukumani ni kama wana sheria zaoWengekuwa na sheria wamejiwekea watu wasingekata hovyo kwa sababu ya faini na baada ya muda mrefu mtu inamkaa inakua kama tabia hataweza kukata miti tena.
Mfano watu wa Moshi ilikuwa ukitupa takataka hovyo faini ni 50,000 na hii ipo tangu miaka ya 2000 ila kwa sasa watu imekuwa tabia yao hawatupi taka ovyo hata wakiwa miji mingine iyokuwa na faini. Mtu ataweka ganda lake la pipi mpaka afike home kama yupo ndani ya gari.
Mkaa angalia malorry yanayotoka tabora geita kigoma mpanda huko yamejaza mkaa wachoma mkaa asilimia 90 ni ndugu zetu WasukumaH
Hilo silipingi aisee sisi kwa uharibifu wa mazingira ni no moja na sababu ya kukata miti ni kwa ajiri ya kilimo na kupikia.