Katika miji niliyotembelea, Moshi ndio mji wa kijani zaidi

Same ,mwanga, rombo , hai , sia, moshi mjini , moshi vijijini, hizo ni wilaya za mkoa wa Kilimanjaro

Moshi mjini na Moshi Vijini sio wilaya ni Halmashauri mbili ndani ya wilaya ya Moshi. Ila inahitajika wilaya nyingine itoke kutoka wilaya ya Moshi ngojea tusubirie wilaya ya Vunjo ianzishwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…