Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 393
- 615
Ugweee..nimekosa salam ya haraka kuwasabahi ndg zangu.
Hawa Z Generation nchini Kenya ni muenendo na miendelezo ya tabia ya wananchi waliosomeshwa na serikali zao za nyuma...hapa namzungumzia Moi na wengine waliofanya vema.
Kinachoendelea nchini Kenya ni sahihi na haki kabisa. Hapa Tanzania hali ni mbaya kuliko nchi zote za Africa mashariki hasa katika kipindi hiki cha awamu ya 6. Sijawahi kumkubali mwigulu. Sijui nani aliyemshauri Mama yet kipenzi Dr Suluhu Hassan, Samia.
Kwanza.
Tozo...simu zetu na vocha ya 500 inakatwa.
Nyumba zetu bill za umeme zinakatwa 1500 miezi 12 sawa na 12,000 kila mwaka.
Tunakatwa kwenye mambo mengi sana. Mwigulu kama mchumi kwa nn anachukua hizi fedha kwa.maskini.
Cha ajabu Mh Rais hana washauri mahiri kwamba Mchemba anakosea. Ninakumbuka aliyemshauri ongezeko la mshahara kwa mtumishi 23% wale kwa kima cha chini. Kima cha kati je walipata nini. Mtumishi hapa ndiye ataelewa. Mwaka mmoja baadae wakaweka ongezeko kwenye posho..hiki kitu walimdanganya mh Rais...nurse hanufaiki na posho hizo, mwl wa darasani hapati kitu hapo kwa sababu hana safari yoyote ya posho...
Hapa Tanzania inatakiwa T generation. Hawa viongozi sio waaminifu kabisa. Hakuna uwiano sawia katika utumishi. Mtumishi wa government agencies wanafaidi sana.
Ukiwa tartrate,tanesco,dawasco,tra,tpa nk unapata nundu. Ukiwa daktari Tanzania unajuta,ukiwa mwalimu unajuta,ukiwa politics utaishia mshukiwa akiingia kutoka pesa, ukiwa traffic unaishia kula mabao...
Jamani kwa nini wananchi sisi Wapole tunafinywa. Tanzania inatabia ya kutumia udhaifu huu ili viongozi walilimbikie Mali.
Wanachofanya vijana wa Kikwenya ni tabia ambayo kuna watu hawapendagi ujinga
Hii inamwisho wake