chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Ndio, ni dhaifu kuliko Salva Kiir.
Sasa anaomba Mungu Raila Odinga asijitikise kisiasa, akifanya hivyo jumba la ikulu ya Nairobi litapata nyufa na kubomoka.
Ni kama ng'ombe aliyekatika mkia kwa kuwa hana Rigathi Gachagua, anaonekana muda mwingi ana wasiwasi, mawazo, amekosa uimara kama Rais.
Rutto akitoboa 2027, nimekaa paleeee, Raila atamkimbia come 2026, na wanaweza angusha serikali yake Bungeni watu wakarudi kwa debe.
Raila na genge lake wanachofanya ni sawa na hadithi ya mdudu ndani ya kokwa la embe, wanamchimba wakiwa ndani, wakitoka wanayo meengi ya kumsema