Katika numerology, jina la JESUS lina idadi sawa na namba '666'

Hesabu imeanza kwa kulazimisha majibu, kwanini usingeanza na 333 au 999 au 100 kama mtaji wa hesabu zako, Why 666 ni nini uko kwenye numerology.
Hata nisingeweka 666, lakini namba 9 ni kiungo muhimu katika mahesabu ya numerology
 
Haya mambo ya shekhe yahaya ambaye dini yake inatoa hii elimu

Sisi wakristu hatuna hizi mambo ambayo Yanachelesha kufikia maendeleo endelevu pia yaweza kukupeleka jehanum
 
Hebu panga numerology ya neno YESU
 
Haya mambo ya shekhe yahaya ambaye dini yake inatoa hii elimu

Sisi wakristu hatuna hizi mambo ambayo Yanachelesha kufikia maendeleo endelevu pia yaweza kukupeleka jehanum
Unauhakika numerology ni somo la huyo Shekhe?

Hichi ni kitu ambacho kinatambulika dunia nzima, tangu enzi za zamani
 
Unauhakika numerology ni somo la huyo Shekhe?

Hichi ni kitu ambacho kinatambulika dunia nzima, tangu enzi za zamani
Jifunze historia kijana
Yesu hakufundisha hii elimu
Pia ni kinyume na mapenzi ya Mungu
 
Inakuwaje letter kwenye numerology ikawakilishwa na double digit. Mfano hiyo J kwanini iwe 10 na sio 1.
Letter A-Z zinapewa namba kulingana na nafasi zao
 
Jifunze historia kijana
Yesu hakufundisha hii elimu
Pia ni kinyume na mapenzi ya Mungu
Kwenye Ulimwengu wao wa Giza, wanaruhusiwa kusoma nyota na kuziiba.

Ila kwenye Ulimwengu wa Nuru, kusoma nyota au kupiga ramli tumekatazwa.

Elewa mipaka Yako.
 
Letter A-Z zinapewa namba kulingana na nafasi zao
Numerology inawakilishwa na single digit mkuu ambazo ni 1 -9.

J-1, E-5, S-3, U-6, S-3. =. 1+5+3+6+3 = 18 = 9

Jina JESUS ni 9 in mumerology.
Nadhani unaielewa sifa ya namba 9 kwenye numerology inawakilisha umungu.
 
Kutumia namba 9 kuzidisha ni kwa lengo la kupata idadi halisi ya jina husika, hatakama herufi imepewa namba 10, lakini kuzidisha kwa 9 ndyo unarejesha katika mfumo wa numerology halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…