Katika numerology, jina la JESUS lina idadi sawa na namba '666'

Katika numerology namba zote ni sawa na hazibagui Lugha, nimetumia jina la JESUS kwani ndilo ambalo lina tatizo na sio hayo majina mengine
Kama ni kweli mbona hujaonyesha kama 'Iesous' jina la Kigiriki au la Kiebrania Yeshua linaleta namba 666 na umetumia la Kilatini?
 
Kama ni kweli mbona hujaonyesha kama 'Iesous' jina la Kigiriki au la Kiebrania Yeshua linaleta namba 666 na umetumia la Kilatini?
Hujaelewa Hizo hesabu

Kila jina lina herufi zake, kwahiyo majibu hayawezi kuwa sawa, ukifanya kwa majina ya 'lesous' au Yeshua utapata jibu tofauti na 666.
 
Pengine umekosea ndugu,

Hili jina mimi nimepata 11 ( Master number )
 
Nyie ndo wale mlikuwa mnaogopa hesabu za logarithms na trigonometry 😂😂
 
Umesahau kuzidisha kwa namba 9
Kwenye hesabu ukizidisha lazima kuwe na sababu haya tuambie kwa nn uzidishe kwa 9?
Na inakuwaje 18 inageuka kuwa 1+8?

Ww hata magazijuto ilikuwa shida Sina uhakika hata kks na kds kama unaziweza 😂
 
Hujaelewa Hizo hesabu

Kila jina lina herufi zake, kwahiyo majibu hayawezi kuwa sawa, ukifanya kwa majina ya 'lesous' au Yeshua utapata jibu tofauti na 666.
Kama jina lilelile linaleta majibu yasiyo sawa, then utawezaje kuhitimisha kwa kuchagua jibu moja? Mfano, jina langu kwa lugha yangu likiwa na mara X kwa nini uchukue maana ya jina langu kwenye lugha yako lenye maana kwa mfano Y? Unaona kuna mantiki hapo?
 
Hata usingizini ukikabwa kumbuka kuita tu Yesssuuuu!! Utaona na kupata msaada wa haraka.
Sahihi . Hili nina uzoefu nalo wakati ambao niliwahi kuishi mtaa ambao ulikuwa na wachawi wanaowanga usiku na wanawake wanaojiuza wengi .

Nilikuwa nikikabwa , nakuwa najitahidi kupiga kelele kuomba msaada sauti haitoki . Lakini katika hali ya kutaka kuomba msaada , nasikia sauti kutoka ndani ya nafsi yangu ikiniambia sema "Yesu " , nami nilipo kuwa naitii ile sauti kwa kusema "Yesu" kimoyo moyo , lile jitu lililokuwa linanikaba lilikuwa linaniachilia ghafla nami najihisi vizuri .

Baadaye nilihama ule mtaa .
 
Mkuu, unapaswa kujua kwamba kila jina lina majibu yake.
 
Naamini Yesu aka Issa, alayhi salaam, hata jina "Jesus" halifahamu. Hilo ni jina la "modification".
 
Umeandika Ujinga
 
Naamini Yesu aka Issa, alayhi salaam, hata jina "Jesus" halifahamu. Hilo ni jina la "modification".
Na hiyo modification ndyo Ina utata, ni vyema waumini kutumia jina la asili
 
Na hiyo modification ndyo Ina utata, ni vyema waumini kutumia jina la asili
Utata nkuvwa saba, hiyo inaonedha bi bsmna wazungu wanalazimisha tuyafate yao tukitaka tusitake. Walikuwa na haja au sababu gani ya jubadilisha jina?
 
Utata nkuvwa saba, hiyo inaonedha bi bsmna wazungu wanalazimisha tuyafate yao tukitaka tusitake. Walikuwa na haja au sababu gani ya jubadilisha jina?
Sio jina tu, wamebadilisha mengi hata baadhi ya maandiko, lengo lao ni kupunguza usahihi na kupotosha waumini ili wasiweze kufikia au kufanya ibada kwa usahihi
 
Thamani ya jina "Jesus" kwa kutumia mbinu ya Pythagorean, ambayo inagawanya herufi katika namba kama ifuatavyo Inaweza kufanyika kama ifuatavyo:

  • A=1, B=2, C=3, D=4, E=5, F=6, G=7, H=8, I=9
  • J=1, K=2, L=3, M=4, N=5, O=6, P=7, Q=8, R=9
  • S=1, T=2, U=3, V=4, W=5, X=6, Y=7, Z=8
Sasa, tuhesabu thamani ya "Jesus":

  • J = 1
  • E = 5
  • S = 1
  • U = 3
  • S = 1
Ukijumlisha hizi pamoja: 1 + 5 + 1 + 3 + 1 = 11

Katika numerology, namba mara nyingi hupunguzwa kuwa namba moja kwa kujumuisha tarakimu pamoja. Kwa 11, unapata:

1 + 1 = 2

Kwa hivyo, thamani ya numerology ya "Jesus" ni 2.
Mkuu unapozidisha 9 sijaelewa inafanya hivyo Ili iweje? Mbona kamuni Wakaldauo na Pythagorean hazipo hivyo?
 
Namba za kufungulia code za Numerology Ni 3,6 na 9

Nimetumia 9 kwasababu ni namba kuu ambayo inaendana na ukuu au cheo cha juu, hata 666 ina thamani ya 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…