Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Mbona Pythagorean numerology ana Cadean numerology haielekezi hivyo?Namba za kufungulia code za Numerology Ni 3,6 na 9
Nimetumia 9 kwasababu ni namba kuu ambayo inaendana na ukuu au cheo cha juu, hata 666 ina thamani ya 9
Umekosa kazi za kufanya mkuu π€£π€£π€£Habari za wakati huu wataalam..
Hii ndiyo hesabu kamili ya jina la "JESUS" na jawabu lake ambalo huwa '666' katika numerology.
Kumbuka 666 ina idadi au thamani ya namba 9 ambapo 6+6+6 = 18, 1+8= 9
Hivyo tunatumia namba 9 kuzidisha kwa kila namba za herufi ya jina husika.
List ya A-Z ipo kwa lengo la kupata namba ambazo hutambulisha herufi za jina husika katika kukokotoa.
View attachment 3061449
Hayo ni maajabu ya namba 9 katika numerology, lakni sidhani kama jawabu hili limekuja kwa bahati mbaya, nadhani ipo sababu.
Kwa wataalamu wa numerology,
hii ni Coincidence au ilipangwa iwe hivyo na waliotunga hilo jina?
Hata Nikola Tesla njia zake zinaongozwa na namba 3,6,9.... Hiyo ni key to the Universe na ni namba maalumu kwaajili ya kufungulia code za majina au vitu vinavyo husiana na ukuu au utukufuMbona Pythagorean numerology ana Cadean numerology haielekezi hivyo?
Mimi sijui kupiga ramli, wewe unajua Mkuu?Pia ukilipiga ramli jina la Jesus majibu huja NIL
Huenda kweli nimekosa kazi, basi nipe kazi ya kufanya kama unayoUmekosa kazi za kufanya mkuu π€£π€£π€£
Master number katika Pythagorean ni 11, 22 na 33.Hata Nikola Tesla njia zake zinaongozwa na namba 3,6,9.... Hiyo ni key to the Universe na ni namba maalumu kwaajili ya kufungulia code za majina au vitu vinavyo husiana na ukuu au utukufu
Kuzidisha kwa 9 sio lazima, inategemea na Energy ya jina husikaMaster number katika Pythagorean ni 11, 22 na 33.
Hao akina Nikola ni kama walikaa juu ya msingi wa Pythagoras..mbona kanuni haielekezi kuzidisha kwa 9 kama jambo la lazima?..
Tupe elimu taratibu Mkuu
Nakaziaumaskini ni mbaya sanaa
Kwa Nini JESUS umezidisha kwa 9?..Kuzidisha kwa 9 sio lazima, inategemea na Energy ya jina husika
Kwasababu 9 ni namba inayo ashiria ukuu, hata 666 ni namba inayohusu ukuu, nayo ni sawa na 9.Kwa Nini JESUS umezidisha kwa 9?..
HapanaMimi sijui kupiga ramli, wewe unajua Mkuu?
Ww kks tu zilikushinda leo unajifanya unajua numerology ππNenda kajifunze maana ya Numerology Kwanza ndyo uje tubishane
Ww kks tu zilikushinda leo unajifanya unajua numerology ππ
Hakuna formula ambayo haina reason behind niambie 18 inakuwaje 1+8 kwa principles zako za kimahesabu
.
Maarifa ya numerology yanataja namba zenye nguvu zaidi ni 11,22 na 33 najiuliza tu Kwa nini 9.
Ila unadhani wanaofanya hivyo wanatumia mbinu au njia gani?Hapana
Siwezi kushindwa kwani hakuna mahali nimetumia au nimemtaja jina la YesuUshindwe na ulegee ktk jinanla yesu
Hamna upuuzi nimewahi kuuona kama huu tangu nimezaliwa