Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Mbona kama unalazimishia sana mzee baba...
Kwanza kipi kilichotangulia kati ya Yesu Kristo na Ufunuo wa Yohana ambao ndio ulipata kueleza habari zijazo za mnyama mwenye chapa 666?
Kwanza kipi kilichotangulia kati ya Yesu Kristo na Ufunuo wa Yohana ambao ndio ulipata kueleza habari zijazo za mnyama mwenye chapa 666?
Habari za wakati huu wataalam..
Hii ndiyo hesabu kamili ya jina la "JESUS" na jawabu lake ambalo huwa '666' katika numerology.
Kumbuka 666 ina idadi au thamani ya namba 9 ambapo 6+6+6 = 18, 1+8= 9
Hivyo tunatumia namba 9 kuzidisha kwa kila namba za herufi ya jina husika.
List ya A-Z ipo kwa lengo la kupata namba ambazo hutambulisha herufi za jina husika katika kukokotoa.
View attachment 3061449
Hayo ni maajabu ya namba 9 katika numerology, lakni sidhani kama jawabu hili limekuja kwa bahati mbaya, nadhani ipo sababu.
Kwa wataalamu wa numerology,
hii ni Coincidence au ilipangwa iwe hivyo na waliotunga hilo jina?