Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Wasingekuwa na tatizo la ajira. Kenya ina watu kama 50m imagine kila kiwanda kiajiri watu 10 tu hao ni watu 70m ina maana hadi watoto na wazee wangekuwa na ajira lakini Wakenya kibao hawana kazi hadi wanajazana Tz.Kenya ina viwanda milion 7, vyote vipo registerd lakini vingi siyo viwanda vikubwa ni viwanda vya kati,ndivyo vingi kwa 75%.
Tanzania tuna viwanda 25,700 tu ,vingi ni vya kati.(Semi registerd) Au baadhi havijulikani! Kama vya tofali n.k.
Juhudi zinahitajika tufikishe walau viwanda milion 3.
Viwanda million Saba 😒Kenya ina viwanda milion 7, vyote vipo registerd lakini vingi siyo viwanda vikubwa ni viwanda vya kati,ndivyo vingi kwa 75%.
Tanzania tuna viwanda 80,000 tu ,vingi ni vya kati.(Semi registerd) Au baadhi havijulikani! Kama vya tofali n.k.
Juhudi zinahitajika tufikishe walau viwanda milion 3.
Huyu Jamaa ana masiharaViwanda million Saba 😒
Kwamba Kenya ina viwanda vingi kuliko China! Ila huyu atakuwa kasoma posts za Wakenya,ni mabingwa wa kupika data.Labda kama nView attachment 3692915imekosea muuliza AI
Wapunguze kodi ya vyerahaniKenya ina viwanda milion 7, vyote vipo registerd lakini vingi siyo viwanda vikubwa ni viwanda vya kati,ndivyo vingi kwa 75%.
Tanzania tuna viwanda 80,000 tu ,vingi ni vya kati.(Semi registerd) Au baadhi havijulikani! Kama vya tofali n.k.
Juhudi zinahitajika tufikishe walau viwanda milion 3.
Kenya pamoja na madhaifu yao ila wanaipenda sana nchi yao. Huwa wana ile kuikuza kupita kiasi na wanatumia data ku support claims zaoKwamba Kenya ina viwanda vingi kuliko China! Ila huyu atakuwa kasoma posts za Wakenya,ni mabingwa wa kupika data.
Kenya pamoja na madhaifu yao ila wanaipenda sana nchi yao. Huwa wana ile kuikuza kupita kiasi na wanatumia data ku support claims zao
Kwangu mimi naona wapo sawa tu
Waongo hao! Chukulia hata kama kiwanda kimoja kitaajiri watu 5 maanake ni 35m. Sasa wangelia ajira hao?Kenya ina viwanda milion 7, vyote vipo registerd lakini vingi siyo viwanda vikubwa ni viwanda vya kati,ndivyo vingi kwa 75%.
Tanzania tuna viwanda 80,000 tu ,vingi ni vya kati.(Semi registerd) Au baadhi havijulikani! Kama vya tofali n.k.
Juhudi zinahitajika tufikishe walau viwanda milion 3.
Wapo sawa kupika data?Kenya pamoja na madhaifu yao ila wanaipenda sana nchi yao. Huwa wana ile kuikuza kupita kiasi na wanatumia data ku support claims zao
Kwangu mimi naona wapo sawa tu
Nilimaanisha ile love kwa nchi yaoWapo sawa kupika data?
Labda viewondersKenya ina viwanda milion 7, vyote vipo registerd lakini vingi siyo viwanda vikubwa ni viwanda vya kati,ndivyo vingi kwa 75%.
Tanzania tuna viwanda 80,000 tu ,vingi ni vya kati.(Semi registerd) Au baadhi havijulikani! Kama vya tofali n.k.
Juhudi zinahitajika tufikishe walau viwanda milion 3.
Mkuu tanzania mambo mengi yanaenda kienyeji sn kama tungekuwa na serikali serious na ya kizalendo hasa ule utanzania sio uchama.. basi kwa hapa east africa Tanzania tungekuwa mfano mbali sana.Kenya ina viwanda milion 7, vyote vipo registerd lakini vingi siyo viwanda vikubwa ni viwanda vya kati,ndivyo vingi kwa 75%.
Tanzania tuna viwanda 80,000 tu ,vingi ni vya kati.(Semi registerd) Au baadhi havijulikani! Kama vya tofali n.k.
Juhudi zinahitajika tufikishe walau viwanda milion 3.
Viwanda ndivyo vinavyoipa jeuri kenya,am not sure kwa record zao,lakini kazi nzuri sana inafanywa na waziri wetu,na bw kitila mkumbo,huenda wenzetu mpaka viwanda vya matofali wanahesabu kama viwanda, Tanzania inakwenda vyema sana kwa viwanda vya standards ya kati na juu kabisa yaani viwanda kama vya vioo,tiles n.k.Charles Mwijage Waziri wa Viwanda enzi za Magufuli alituambia ukimiliki vyerehani viwili, tayari hicho ni kiwanda. Kwa hiyo idadi ya viwanda halisi nchini ni kubwa sana.
Unachokisema Ni kweli. Lakini inawezekana walio katika tatizo la ajira ni wale wasioweza kwenda viwandani. Mfano madaktari wauguzi na wafamasia, walimu etc. Ila viwanda milioni Saba Ni utapeli. Kwa viwanda hivyo Hadi watoto wa mwaka mmoja inabidi wawe kazini.Wasingekuwa na tatizo la ajira. Kenya ina watu kama 50m imagine kila kiwanda kiajiri watu 10 tu hao ni watu 70m ina maana hadi watoto na wazee wangekuwa na ajira lakini Wakenya kibao hawana kazi hadi wanajazana Tz.
Kuna kitu umekosea. Kenya ina viwanda 39,000.