Katika suala hili la kitabu cha Kabendera, naona kuna mfululizo mkubwa wa matukio nyuma yake

Izy_Name

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2020
Posts
772
Reaction score
1,733
Kwanza, nataka kukiri kwamba sijakisoma kitabu hicho, lakini kupitia nukuu mbalimbali za mitandaoni, kidogo nimeweza kupata muhtasari wa kilichomo ndani yake.

Katika suala hili la kitabu cha Kabendera, naona kuna mfululizo mkubwa wa matukio nyuma yake. Kuna nguvu kubwa inayotoka kwa viongozi wa juu. Naamini kuwa kama kusingekuwapo na maslahi ya viongozi wa mamlaka ya juu, kitabu hiki kisingepata umaarufu huu. Maagizo kutoka juu yangekuwa yamepewa juu ya kitabu hiki.

Taarifa zilizomo ndani ya kitabu hazijatolewa kwa bahati mbaya. Naamini kwamba mnufaika mkuu wa kitabu hiki si Kabendera mwenyewe.

Katika moja ya kurasa, kuna madai kuwa Hayati alitaka kumbaka fulani, lakini tukichunguza kwa makini, je, huyo aliyetaka kubakwa ni nani kwenye mamlaka ya sasa,
Je ana nguvu gani ki mamlaka?
Je, Hayati angeweza kujaribu kutekeleza jambo hili kama angalijua kuwa kuna watu watakuwepo wakati wa tukio hilo? Ikiwa hakukuwa na watu, je, ni nani aliyejua kuhusu tukio hili zaidi ya Hayati na mtendewa?

Kwa ujumla, naamini kwamba mtu aliyehusika na utoaji wa taarifa hizi ni miongoni mwa wahusika wawili kati ya hayati na mtendewa na mtendewa ni miongoni mwa watu wa mwanzo kujua yaliyomo ndani ya kitabu hicho. Bila shaka, angekuwa ameanzisha hatua au kutoa maagizo juu ya usambazaji wa kitabu hiki, lakini je ni kwanini hatusikii chochote juu yake je amefurahishwa?.

Na je maraisi wengine wastaafu wao walikua ni wema sana na hata tusisikie negativities zao kwanini licha ya scandle zote za ufisadi mkubwa inamaana hapakuwa na waandishi wenye uwezo wa kuandika vitabu, je mambo yaliyofanyika awamu ya 3 au ilikuwa ni sehemu ya scene ya movie na wala haipaswi kuyachukulia serious?,
je ni kwanini iwe kwa Hayati tu?,
kwanini usambazwaji wa kitabu chenye niche hii kinasambazwa kwenye wakati huu wa mwaka wa uchaguzi?.

Kuhusu suala la mtoto kujiua, naona kwamba hili ni jambo la faragha, halina uhusiano wa moja kwa moja na uongozi wa taifa. Kwa mfano, mimi na mke wangu tunakuwa na migogoro mara kwa mara, hivo basi kabendera kutokuniandika kwenye kitabu ni kunishushia heshima.
Kwa jinsi hili taifa linavyo endeshwa ni sawa na mwanamke alie olewa na mwanamme wa pili kisha mwanamme huyo anashindwa kutimiza ahadi zake kwa mwanamke na baada ya kujua kuwa ameshindwa kutimiza anaanza kumpondea mume wa kwanza kuwa mala ohh yule alikuwa anakupiga kila siku ila mimi nakubembeleza kama mtoto.
 
Nalo neno
 
"Katika moja ya kurasa, kuna madai kuwa Hayati alitaka kumbaka fulani, lakini tukichunguza kwa makini, je, huyo aliyetaka kubakwa ni nani kwenye mamlaka ya sasa,
Je ana nguvu gani ki mamlaka"?
Dogo Tulia
20241117_210049.jpg
 
View attachment 3192078
Wanawake ambao wanaume zao walipewa ubalozi hao itakuwa alikuwa anajilia tu.....yule mwingine mumewe aliamua aache mimba kabisa

usikute na mtoto anaitwa magufuli
 
Back
Top Bottom