Katika suala hili la kitabu cha Kabendera, naona kuna mfululizo mkubwa wa matukio nyuma yake

Ninavyojua mimi, Mwamba Magufuli HAUWEZI kuchafuliwa na mtu yeyote au na kitu chochote na ndio maana licha ya kifo chake bado Mwamba Magufuli ana make headlines kuliko walio hai!
 
Kinacho nishangaza ni kuona ccm na serikali yake wmeona makosa waliyo fanya kukabidhi nchi mikononi mwa kichaa kwa zaidi ya miaka sita. Na mpaka sasa wameacha njia kichaa alizo kuwa anatumia ndio ziendelee kuwaweka madarakani. Mimi nilifikiri ccm baada ya kufanya makosa wenge kaa chini nakujadili namna ya kuhakikisha makosa hajirudii tena. Sio tu ndani ya chama bali pia serikalini. Mimi nafikiri ccm inaongozwa na vichaa kuliko magufuli.
 
Wewe unapswa kukisoma kitabu ili uelewe kwa kina zaidi lakini kuna interview alifanyiwa kabendera. Ukiipata hiyo itakusaidia.

Hata hivyo kama ukiweza andika tu kitabu chako kuhusu hao marais wengine. Kumbukankiwa Mkapa na Mwinyi walishaandika vyao.


View: https://youtu.be/HfQqupIGlKM?si=Rsd-cyHcg19cTDbv
 
Wanawake ambao wanaume zao walipewa ubalozi hao itakuwa alikuwa anajilia tu.....yule mwingine mumewe aliamua aache mimba kabisa

usikute na mtoto anaitwa magufuli
Aaah qmmk walah 😂
 

View: https://youtu.be/HfQqupIGlKM?si=onGz-98ZMq-nvwC3
Kwenye hii video angalia kuanzia dakika ya 50 anasema alimpigia simu Generali mmoja wa JWTZ kwa simu inayoficha mawasiliano yao.

Generali akaenda chumbani kwake, akafunga kufuli, halafu akamwambia subiri kwanza mimi nina kitanda kikubwa hivi, akaingia uvunguni mwa kitanda chake kabla ya kuanza kuongea naye.

Huyu ni generali aliyekuwepo Uganda na kumuondoa Iddi Amin. Ni shujaa.

Sikiliza mwenyewe halafu tumia akili kidogo kutafakari uongo wa kitoto wa aina hii.
 
Kwa kawaida mtu akifariki husifiwa na hata mabaya aliyotenda hufunikwa. Lakini ukiona maovu ya mtu aliyekwishafariki yanafunuliwa basi ufahamu kuwa huyo mtu alikuwa amefanikiwa kuwadhibiti watu ili siri zake zisitoke. Hivyo, Mungu humuinua mtu au watu kuweka wazi maovu yaliyofunikwa kwa miaka yote. Hii ni kwasababu Maandiko yanasema "Hakuna kilichofichwa ambacho hakitawekwa wazi".
 

View: https://youtu.be/HfQqupIGlKM?si=onGz-98ZMq-nvwC3Kwenye dakika 55 Kabendera anasema inabidi kuondoa dhambi ya waasisi wa hii nchi kuanzisha mahakama kama iliyowahukumu nazi Nuremberg anasema Nyerere ndio muasisi, chanzo cha haya yote.

Kwahiyo wote hawa waliosalia toka uhuru hadi sasa inabidi wafikishwe mahakamani kuanzia waasisi wa hili taifa ili kuondoa mbegu mbovu. Ujamaa na azimio la arusha vimechangia sana haya kutokea Kabendera anaendelea.

Kuna uongouongo mwingi, inconsistents, anasema ukikaa barazani unasikia mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…