Katika suala hili la kitabu cha Kabendera, naona kuna mfululizo mkubwa wa matukio nyuma yake

Kuna vitu ukiangalia kwa jicho la tatu unaelewa tu kirahis kuwa ni propaganda. Bahati mbaya propaganda zao walaji ni kundi la wasomi na sio wajinga kwa iyo mbinu yao tushaijua wakajipange upya. Hata wakitumia nguvu nyingi haisaidii. Ni bora wangewekeza nguvu nyingi katika kulinda rasilimali za taifa, kujenga nchi na kuliletea maendeleo taifa hapo tungemsahau magufuli na kuwaona wao ndio wa maana kuliko kuhangaika kumchafua hata haisaidii.
 
Unadhani Rais kuna wakati anabaki nyumba nzima pekee yake na hakuna wa kumuona wala kumlinda.
Muulize Kidoti upuru wa Uchwara.
 
Pumbavu badala ya kuleta mada za kufanya kiswahili kuwa lugha ya kufundishia hadi elimu za juu! Kabenderaa! Kabenderaa! Washenzi, huyo kabendera pumbavu zake aende huko na bendera zake hatutaki kusikia Tena jina hilo humu ndani aende kwa baba zake. Acheni ujinga nchi hii mbona mnatokwa na akili kiasi wajinga wakubwa Hawa wanataka kutuharibia akili za vijana wetu. Tena wakome kama walivyokoma kwenye manyonyo ya kumama zao.
 
Kwahiyo ukweli ni upi?
 
Ukweli ukweli ni upi?.
 
Kwahiyo ukweli ni upi?
Nimetoa changamoto mwisho hapo sikiliza mwenyewe zote mbili, halafu tumia akili yako mwenyewe kutafakari kama kuna ukweli au ni story ya kutunga, kuuza kitabu, kujipatia umaarufu, kulipa kisasi, kumpaka mtu matope kuchangamsha genge.
 
Hapo sehemu ya "hayati" ungekua unataja majina yao.
 
Nimetoa changamoto mwisho hapo sikiliza mwenyewe zote mbili, halafu tumia akili yako mwenyewe kutafakari kama kuna ukweli au ni story ya kutunga, kuuza kitabu, kujipatia umaarufu, kulipa kisasi, kumpaka mtu matope kuchangamsha genge.
Unataka mwisho ufikiwe utakavyo bila mchakato na mchujo?Kama nani?
 
Izy_Name nikuambie kitu, Mwandishi kamzungumzia Magufuli sasa kama Rais na historia yake kama alikua sasa alikuwa na haja gani ya kuwazungumzia marais wengine wakati wao sio wahusika katika kitabu hicho ??
Tafakari
 
sikumsapoti jiwe baada ya mwaka mmoja kuingia madarakani. lakini mambo mengi ameandika kabendera naona ni more of hearsay isiyo na uthibitisho kabisa unless ataje source. huwa sipendi kuegemea upande mmoja, huwezi kusikia tu kitu ukakiandika kama cha kweli kwa sababu wewe umekiamini. all in all, jiwe alikuwa na roho ya kikatili sana hata kama siamin kila kitu kilichoandikwa na kabendera.
 
Nimetoa changamoto mwisho hapo sikiliza mwenyewe zote mbili, halafu tumia akili yako mwenyewe kutafakari kama kuna ukweli au ni story ya kutunga, kuuza kitabu, kujipatia umaarufu, kulipa kisasi, kumpaka mtu matope kuchangamsha genge.
Ukweli hupatikana kwa kutafakari au kuona, kusikia na kugusa na kuhusianisha na Hali halisi? Kwanini tuamini haya unayosema wewe ni kweli na sio hayo yanayolezwa na Kaflag ambaye na yeye ni Miongoni waliomizwa na Jiwe? Kwamba he had actual experience of the evils of that man?
Kwanini amchafue na alishaoasuka ardhini?
Kwanini unadhani Kabendera anatafuta umaarufu ambao Jiwe alimoa mwenyewe na kimsingi anataka umaarufu wa muziki au siasa? Au umaarufu wa Nini hasa?
 
Hao majenerali wana nguvu wakiwa jeshini, nje ya hapo ni warembo wa kawaida sana. Iddy Amin aliondolewa madarakani miaka zaidi ya 40 iliyopita. Huenda huyo General alikuwa na 30+ wakati huo. Hadi sasa atakuwa late 60s ama early 70s. Sasa mtu wa umri huo si ni general jina tu.
 

Umesikiliza hiyo video, ya Generali kujificha chini ya uvungu?

Nimekuambia sikiliza halafu make your own mind up. Conclusion utayoifikia ndiyo unayopaswa kuifikia kutokana uwezo wako wa kuchambua mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…