Katika suala hili la kitabu cha Kabendera, naona kuna mfululizo mkubwa wa matukio nyuma yake

Kama aliweza kumpa utukufu, angeshindwa nini kumtaka badala ya kumbaka? Je kuna mangapi kati ya wawili hawa yanafichwa? Kwanini alimpendelea yeye? Je alipewa au kutoa nini?
 
Kwanza hauwezi kumpangia mtu aandike kitabu kuhusu nani na kwa wakati upi, secondly yeyote(hata wewe) unaweza kuandika kuhusu wengine acha Kabendera aandike anayoona ndiyo muhimu(according to him) hivyo mahaba yako kwa mtu(in this specific case Jiwe) aliyeandikwa hayawezi kuzuia kiu ya wasomaji waliopitia na kuteseka na udhalimu wa Jiwe na wale waliokuwa wakiusikia tu. People have the right to know.
Kama kwako Lissu kushambulia, Aqulina kuuawa, Azory Gwanda na Ben Saanane kupotezwa ilikuwa furaha na faraja kwako kuna watu waliumizwa na hayo(au nawe ni wale "kifo ni kifo tu?")
Regime zote zilikuwa na matatizo/majanga mengi lakini ukatili uliokithiri uliokuwa ukifanywa wakati wa utawala wa Jiwe haijawahi kutokea since tupate uhuru 1961 na mfumo ule wa kikatili alioutengeneza bado haujafa, ameharibu utamaduni wa Kitanzania kwa kiwango kikubwa mno no wonder baadhi ya watu wanahisi hakuwa na asili ya Tanzania.
Kabendera ana uhuru kama muandishi kuandika kuhusu chochote alimradi asivunje sheria, yeyote anaweza kwenda mahakamani kupinga usambazaji wa kitabu husika ndani ya Tanzania.
 
Cha msingi apelekwe mahakamani akathibitishe tuhuma hizo.
Mahakamani kuna aibu nyingi za watu zitajulikana kuliko hizi chache tulizosikia.
Nasubiri nisikie wafuasi wa furani wakafungue mashtaka ili kumsafisha dhidi tuhuma za aina hii.
Sidhani kama kuna jasiri wa aina hiyo
 
Kwa muda sasa nimekuwa nafikiri kwa jicho la 3 kuhusu watu wanaofurahia mambo mabaya yanayo wapata wengine Tena yanayo sababishwa kwa makusudi na binadamu mwingine
 
Wewe punguani kweli unatumia fikra zako na chuki zako binafsi dhidi ya Rais wetu kuelezea upuuzi wako yaani Rais akubali hizi habari ziandikwe hili iweje kwa mamlaka aliyonayo kama angekuwa na roho mbaya JPM angeweza kuchamfua zaidi ya hii, nyie pambaneni na Kabendera. Muacheni Rais afungue nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…