Mwenzako kajikaza ,ila jasho limemtoka , tafuteni mjuzi zaidi yenu mletenihuyu jamaa na mwenzake uyo che mittoga ni wajinga kupitiliza achana nao hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzako kajikaza ,ila jasho limemtoka , tafuteni mjuzi zaidi yenu mletenihuyu jamaa na mwenzake uyo che mittoga ni wajinga kupitiliza achana nao hao
Nimeshagundua ni mtu wa namna gani hawa ni wakuwapuuza tu.huyu jamaa na mwenzake uyo che mittoga ni wajinga kupitiliza achana nao hao
Anaruhusiwa kuomba talaka, na akapewa akaenda kuolewa na mtu mwingine,..mfano umeolewa na mwanaume, hapigi mashine vzr au jogoo hapandi mtungi kabisa, haudumii familia, au anakutesa kama kipigo cha mbwa Koko ...uislaam unaelekeza mwanamke kwenda kwa kiongozi wa dini(kadhi) akaimba talaka yake.Na je mume akipata matatizo mke aende wapi?? Dini ya kiislamu imewaweka wanawake chini sana
Imagine unakutana na mtu yupo uchi anakimbiza jiwe limebeba nguo zake , ila nataka unijuze hili jiwe lilobeba nguo za Musa na kukimbia , Allah alilipa miguu au lilikuwa linaruka kama chura ?Nimeshagundua ni mtu wa namna gani hawa ni wakuwapuuza tu.
Mubarridi njoo saidia vijana , wanashangaa Allah kulifanya jiwe kukimbia na nguo za Musa wakati Musa yupo uchi anaogaHizi habari umezipata wapi ?
Mungu ametupa akili kwa sababu.. Zamani ulikua huwezi to dare kuhoji wala kuuliza na mimi kama muilsm na nimezaliwa kwenye uislam nakubali kuwa dini yetu ina contradictions nyingi pia. Mwisho wa siku nitabaki kuwa Muislam sababu ndio dini niliozaliwa nayo na kurithishwa ila lazima nitumie akili Mungu alienipa ku question kitu ambacho nakiona hakipo sawa.Kasome Dini acha ubishi.
No comments.Nawasalimu kwa jina la jamuhuri
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana hasa wa maswala haya yahusuyo ndoa lakini kwa upande wangu nimeona ndoa kwa mujibu wa dini ya kiislamu wapo vizuri sana hasa katika swala zima la:-
1)Ndoa kwa ujumla
2)Talaka
NDOA KWA UJUMLA
-Hapa napenda kuzungumzia swala zima la kuoa mke zaidi ya mmoja ama kwa hakika hii kitu ni nzuri sana.
Maana licha ya kwamba tamaa ipo kwa mtu mwenyewe lakini pia kuoa mke zaidi ya mmoja inasaidia kupunguza swala zima la michepuko.
Pia ukipata wake wazuri kwa kushirikiana nao kwa pamoja unaweza kufika mbali hasa katika swala zima la maendeleo
Lakini changamoto kubwa iliyopo hapa pindi mume anapofariki watoto kuanza kugombania mali hivyo naamini nyie ni mashuhuda kwa baadhi ya familia.
TALAKA
Sasa hapa kwenye talaka ndio wamepatia kabisa yani haiwezekani mke wangu nimfumanie ugoni halafu niambiwe kitatutenganisha kifo huo ni uongo.
Haiwezekani mke awe na tabia zisizofaa ikiwemo kudharau ndugu zangu halafu niendelee kumkumbatia kisa kifo ndio kitatutenganisha.
Kama mke kakosea umemuadhibu mara mbili ya tatu bado anafanya kosa lile lile talaka ndio halali yake.
Hii sheria ya kwamba kifo kitutenganishe imewaponza watu wengi sana hadi kupelekea wengine kuona ndoa zao ni chungu na kukimbilia kutafuta tulizo nje kisiri (mchepuko) maana wanaona maovu ya wenza wao lakini wanashindwa kuwapa talaka kwa kisingizio cha hadi kifo kitutenganishe.
Kama wewe si muislamu basi funga ndoa hata ya kiserikali lakini uweke kipengele cha kuongeza mke mwingine hapo hatokuwa na jeuri ya kuringa maana kwenye ndoa ya kiserikali hata talaka zipo.
Kwa kumalizia kwenye swala la kuoa mke zaidi ya mmoja waislamu mmeupiga mwingi sana
Kumbuka kuoa sio lazima pia ndoa ndoano
Naomba kuwasilisha
Nina uhakika hilo Jiwe lililo iba nguo za Musa na kukimbia nazo ndio hilohilo linalosujudiwa huko Maka, na hakika lina uwezo pia hata wa kusamehe dhambi za waumini wake wote na wakarithi pepo ya kunywa na kuogelea kwenye mito ya pombe huku totoz za kumwaga zinawasubiri.Imagine unakutana na mtu yupo uchi anakimbiza jiwe limebeba nguo zake , ila nataka unijuze hili jiwe lilobeba nguo za Musa na kukimbia , Allah alilipa miguu au lilikuwa linaruka kama chura ?
Hili jiwe litakuwa ndio lenyewe wanaloliabudu , kwa Musa Allah alilipa miguu na mikono likatoka nduki na nguo za MusaNina uhakika hilo Jiwe lililo iba nguo za Musa na kukimbia nazo ndio hilohilo linalosujudiwa huko Maka, na hakika lina uwezo pia hata wa kusamehe dhambi za waumini wake wote na wakarithi pepo ya kunywa na kuogelea kwenye mito ya pombe huku totoz za kumwaga zinawasubiri.
Wakati huohuo Allah na Malaika zake wanakesha Kumswalia Mtume na kumtakia rehema.
Ha...ha...ha
Ukisikia kitabu cha Fiction ndio hicho.
Ni Fix kwenda mbele.
Kijana sasa unatumia akili zako bcz hutaki kusoma ila ukisoma dini ayo mambo yte ni Sahali kabisaaaMungu ametupa akili kwa sababu.. Zamani ulikua huwezi to dare kuhoji wala kuuliza na mimi kama muilsm na nimezaliwa kwenye uislam nakubali kuwa dini yetu ina contradictions nyingi pia. Mwisho wa siku nitabaki kuwa Muislam sababu ndio dini niliozaliwa nayo na kurithishwa ila lazima nitumie akili Mungu alienipa ku question kitu ambacho nakiona hakipo sawa.
Zama zipi izo ambazo ulikua huwezi kuhoji?Mungu ametupa akili kwa sababu.. Zamani ulikua huwezi to dare kuhoji wala kuuliza na mimi kama muilsm na nimezaliwa kwenye uislam nakubali kuwa dini yetu ina contradictions nyingi pia. Mwisho wa siku nitabaki kuwa Muislam sababu ndio dini niliozaliwa nayo na kurithishwa ila lazima nitumie akili Mungu alienipa ku question kitu ambacho nakiona hakipo sawa.
Kuna waislamu ambao wanafuata mienendo ya dini ya kiislamu na kuna waislamu jinamiongoni mwa mambo ambayo kwenye uislam ni mchungu ni swala la talaka, sema watu wametumia huria sana, nadhani hawafahamu uislamu vizuri, mtu anaacha ndoa kama nne kama shilole kweli.. sidhani kama hii ni sawa!
Nikupe mfano mdogo. Hivi unajua mpaka Leo sisi kama waislam tunapingana kuhusu hadiths? Imams wakubwa duniani wanapingana Tena kwenye kwenye vitabu vya Sahih Muslim na Sahih Boukhari na tena wengine hawaamini kabisa hadiths wanasema zimeandikwa miaka 300 baada ya Muhammad kufariki tena na watu tu.Zama zipi izo ambazo ulikua huwezi kuhoji?
embu twambie na sie tuzijue
Mimi mwenzako siku nilikaa nikataka kujua why kuna dini tofauti? Lengo la mungu ilikua ni lipi ina maana alijichanganya maana sisi wote ni wake na sidhani Allah ni mbaguzi na mwenye matabak kuna kitu hakipo sawa kwenye maswala ya hizi dini. Haiwezekani baadhi ya watu ni Makafir na wengine eti tumekamilika ndio tuko sahihi je na wale ni wa nani? Ndio maana nilikwambia think outside the box usiishi kwa kukariri.. Dini yetu yenyewe inasema tafuta knowledge mpaka China. Hii dunia si ya Leo.Nikupe mfano mdogo. Hivi unajua mpaka Leo sisi kama waislam tunapingana kuhusu hadiths? Imams wakubwa duniani wanapingana Tena kwenye kwenye vitabu vya Sahih Muslim na Sahih Boukhari na tena wengine hawaamini kabisa hadiths wanasema zimeandikwa miaka 300 baada ya Muhammad kufariki tena na watu tu.
mkuu tunasema mke mmoja kwa mume mmoja.Nikuulize swali.Assume kwamba mtu ana wake wanne.Wakipata mimba baba atakuwa anajulikana.Mwanamke akiwa na wanaume wanne akipata mimba baba anakuwa nani katika hao wanne?
Usawa wa kijinsia sio kwenye kila jambo.
Utamaduni wa kiarabu?Wamasai,wakurya ,na makabila karibu yote ya kibantu wana asili ya kuoa wanawake zaidi ya mmoja.
usiseme kwa maneno tupu lete ushahidi kua imamu huyu anapinga embu lete ushahidi hapa nikuelimisheNikupe mfano mdogo. Hivi unajua mpaka Leo sisi kama waislam tunapingana kuhusu hadiths? Imams wakubwa duniani wanapingana Tena kwenye kwenye vitabu vya Sahih Muslim na Sahih Boukhari na tena wengine hawaamini kabisa hadiths wanasema zimeandikwa miaka 300 baada ya Muhammad kufariki tena na watu tu.
Tatizo lako unaendeshwa na matamanio ya akili yako hlf kusoma dini hujasoma unaongea vitu ambavyo ata yule alomaliza juzuu Amma ana uwezo wa kuvijibuMimi mwenzako siku nilikaa nikataka kujua why kuna dini tofauti? Lengo la mungu ilikua ni lipi ina maana alijichanganya maana sisi wote ni wake na sidhani Allah ni mbaguzi na mwenye matabak kuna kitu hakipo sawa kwenye maswala ya hizi dini. Haiwezekani baadhi ya watu ni Makafir na wengine eti tumekamilika ndio tuko sahihi je na wale ni wa nani? Ndio maana nilikwambia think outside the box usiishi kwa kukariri.. Dini yetu yenyewe inasema tafuta knowledge mpaka China. Hii dunia si ya Leo.