Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Wakristu wanaenda kinyume na matakwa ya Muumba. Kwanza wanawake ni wengi kuliko wanaume, ukioa mke mmoja wanaobaki wataolewa na nani? Hongera Waislamu, big up! Na wakatoliki nani aliwaambia watawa wasioe au kuolewa? Ninazidi kuamini kuwa dini ni dili la wajanja wachache walioiteka Dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Muhammad anaulizwa na mtu wake wa karibu kabisa je nikimkuta mke anapigwa machine na mwanaume mwingine je niwape mda mpaka nikatafute mashahidi wa 4 Muhammad akajibu ndio 😂😂😂😂 , Kisai huyu mtume wenu akili zilikuwepo kweli?

Hadith
That Sa'd b. 'Ubadah said to the Messenger of Allah (ﷺ) : What do you think if I find with my wife a man ; should I give him some time until I bring four witnesses ?" He said: "Yes". Sunan Abi Dawud 4533
 
Muhammad anaulizwa na mtu wake wa karibu kabisa je nikimkuta mke anapigwa machine na mwanaume mwingine je niwape mda mpaka nikatafute mashahidi wa 4 Muhammad akajibu ndio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] , Kisai huyu mtume wenu akili zilikuwepo kweli?

Hadith
That Sa'd b. 'Ubadah said to the Messenger of Allah (ﷺ) : What do you think if I find with my wife a man ; should I give him some time until I bring four witnesses ?" He said: "Yes". Sunan Abi Dawud 4533
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu hata hilo suala la mirathi lipo simple mno sababu ugawaji wa mirathi ushaelezwa nani wa kupata nani wa kukosa na nani atapata kiasi gani na nani atapata kisi hiki
iwe watoto na mke

Na hata kama aliacha wosia apewe fulani ambae yupo nje ya familia yaani jamaa au rafiki basi kipo kiasi fulani kwa kina maalum

Na jambo kubwa la kufurahisha katika uislam BABA huwezi kuacha wosia mtoto fulani apewe hichi au mke wangu mdogo apewe hichi.

Hata kama mtoto mmoja wapo alikuwa akikuudhi kwa matukio yake kupindukia ikiwa ulimzaa katika NDOA ukifa lazima arithi sawa na wenzake HUWEZI KUACHA WOSIA huyu KISIRANI asipewe katika mali zangu. Au huyu wa kwanza kipenzi changu nikifa nyumbani fulani ni yake peke yake katika UISLAM hakuna hiyo.

Watoto na mke wapo katika kundi ambalo wewe baba huwezi kujipangia kuwa nikifa huyu achukue hiki na yule apate hichi BIG NO watapata kulingana na sheria aloweka MWENYEZI MUNGU tena kwa haki kabisa

Yaan katika mambo yote ya kifamilia swala la mirathi katika uislam ni simple mno

Ukiona mgogoro katika mirathi ya UISLAM basi hao wapo nje ya SHERIA ya DINI na hata mzee wao aliishi NJE ya DINI
Hapo umenena. Hongera
 
Back
Top Bottom