Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Uislam huu ambao mwanamke ni takataka? Wacheni upuuzi wenu hapa.......we umeona wapi mtu anaoa akiwa na nyege tu, zikimtoka anatoa talaka kwenda kujichukulia mwingine amchafue mavuzi.
Acheni kudanganywa kwenye majukwaa na WAJINGA ambao wanawapa tafsiri ya Quran wanayotaka kuisikia
Umeandika habari feki wala haipo kwenye Quran, ila ni hadithi na hiyo hadhi ukisoma mbele kidogo tu ilikanusha hiyo habari ya ndoa za muda ila watu hukopy huo mstari wa kwanza na kudanganya watu
Endelea kidogo kusoma hiyo hadithi ulipo pata huo ujumbe utakuta hivi.....
Abu `Abdullah (Al-Bukhari) said: `Ali made it clear that the Prophet said, "The Mut'a marriage has been cancelled (made unlawful).