Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,352
spensa_e na genge lako hamwezi kuja kulalamika kuwa mlikuwa makafiri kwasababu ilishapangwa muwe makafiri. Elimu ya ghaibu imefichwa hakuna mwanadamu anaeijua hata mimi sijui mwisho wangu. Mungu ametupa uchaguzi wa kuamini au kutokuamini ,kutenda mema ama kutenda mabaya ila mwisho wa siku atatulipa kwa yale yote tuliyoyatenda
Quran43:
"
Nao (Makafiri) husema: Angeli penda Mwingi wa Rehema tusingeli waabudu sisi. Hawana ujuzi wowote wa hayo! Hawana ila kusema uwongo tu!
21. Kwani tuliwapa Kitabu kabla ya hichi, na ikawa wao wanakishikilia hicho?
22. Bali wanasema: Hakika sisi tuliwakuta baba zetu wanashika dini makhsusi, basi na sisi tunaongoza nyayo zao.
23. Na kadhaalika hatukumtuma mwonyaji kwenye mji wowote ila watu wake walio deka kwa starehe walisema: Hakika sisi tuliwakuta baba zetu wanashika dini makhsusi, na sisi tunafuata nyayo zao.
24. Akasema (Mwonyaji): Hata nikikuleteeni yenye uwongofu bora kuliko mlio wakuta nao baba zenu? Wakasema: Sisi tunayakataa tu hayo mliyo tumwa.
25. Basi tukawalipizia. Angalia ulikuwaje mwisho wa walio kadhibisha!"