Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Kuificha haki (maneno ya Allah) kuna maana mbili.

1. Kuificha kabisa isijulikane na watu.

2.Au kudhihirisha lafudhi na kibadilisha maana.

Hiki ndicho unachokifanya.

You are the REAL ENEMY OF ISLAM.
Swali hili Hapa
Kwa nini Allah aruhusu kuchukua mwanamke siku tatu na umlipe?

sio mimi nilieandika maneno ya Mutah mmeandika wenyewe , ungejifunza kujibu maandiko yako

Sahih Muslim 1405d
Hapa wanasema walikuwa wanalipa mpaka unga wa ugali kwa mwanamke
We contracted temporary marriage giving a handful of (tales or flour as a dower during the lifetime of Allah's Messenger (ﷺ) and durnig the time of Abu Bakr until 'Umar forbade it in the case of 'Amr b. Huraith.
 
Hivi unajua kumuamsha mtu anayejifanya amelala ni kazi sana? unaweza ukadhani amekufa.
 
Hivi unajua kumuamsha mtu anayejifanya amelala ni kazi sana? unaweza ukadhani amekufa.
Swali rahisi unazungazunguka , mutah ilikuja kukatazwa na Umar
Ila nataka kujua
Kwa nini Allah aruhusu kuchukua mwanamke siku tatu na umlipe?
 
Alafu unajifanya muislamu , shame on you
Ajabu hii! kafiri anamtoa muislamu kwenye uislamu.

Mimi nawajua akina Umar wengi tu, sasa nimekuuliza huyo uliyemtaja hapo ndie nani, maana Umar wapo wengi.

Labda namjua lakini niatajuaje kama ninayemjua ndie uliyemkusudia.
 
Acha kujifanya muislamu, hakuna muislamu anauliza Umar ni nani?
Leo waislamu wanawake wanavaa hijabu sababu ya Umar , Leo waislamu wanaswali kuelekea jiwe sababu ya Umar

Kaa pembeni mamluki
 
Wazinzi siku zote wana option chief. Mke ni mmoja tu. Hakuna kisingizio. Hao unaosema wanaoa mpaka 4 bado ni wazinzi waliokubuhu. Kikubwa unatakiwa kujua Mungu hafuati taratibu zako. Yeye ashaweka utaratibu ukizin ni kosa kuna adhabu. Mtu mzinz hata umpe mabeib wote atataman tu. So sisi wakristo Mungu wetu hakutupa option chief. Ukizin ni moto hata ukitaman ni kosa. Sio nyie mmepewa option eti msile kitimoto ila ikitokea dharura kula kula. Sasa huyo Mungu gan. Dhambi haiwezi kuwa nuru.
Hii comment yako iishi milele
 
Sasa mimi kumjua au kotomjua kuna kuzuia nini kujibu swali langu?

Na wala sijasema namjua au simjui.

Mbona swali langu lipo wazi huyo Umar ndio nani?

Au hata wewe unamtaja halafu humjui, basi wewe ndio mamluki.
 
Huwezi kuwa muislamu na humfahamu Umar
Hilo tumemaliza
 
Huwezi kuwa muislamu na humfahamu Umar
Hilo tumemaliza
Wapi nimesama simfahamu Umar?

Nimekuuliza huyo Umar uliyemtaja ndie nani?

Mokiti mbona mgumu kuelewa.

Na ninachoona ni wewe ndiye humjui huyo Umar, umemtaja halafu hata huwezi kumtambulisha.

Sasa tutamjadili vipi mtu ambaye hata wewe humjui?

Na kama hoja yako ni kwamba Kila muislamu anamjua huyo Umar, basi katika uislamu hakuna Umar mmoja ambae waislamu tunafahamu.

Hivyo swali langu linabaki palepale.
 
Acheni kudanganywa kwenye majukwaa na WAJINGA ambao wanawapa tafsiri ya Quran wanayotaka kuisikia
Umeandika habari feki wala haipo kwenye Quran, ila ni hadithi na hiyo hadhi ukisoma mbele kidogo tu ilikanusha hiyo habari ya ndoa za muda ila watu hukopy huo mstari wa kwanza na kudanganya watu

Endelea kidogo kusoma hiyo hadithi ulipo pata huo ujumbe utakuta hivi.....
Abu `Abdullah (Al-Bukhari) said: `Ali made it clear that the Prophet said, "The Mut'a marriage has been cancelled (made unlawful).
Kijana sikia....Nikah Mut'ah ipo mpaka muda huu naandika huu ujumbe kwako. Umesoma wapi wewe, waarab na waislam bado wanatumia kisingizio hiki cha kuoa kwa muda ili upige mti mwanamke na kumwacha baada ya nyege kwisha. Na hii Mut'ah ipo kwa ajili ya wanaume wanaosafiri mbali na wake zao, huko alipo akishikwa na nyege anaoa changu kisha anamwacha akishamaliza nyege zake. Tatizo lenu nyie mnakariri tu vitu bila hata kujuwa mnakariri nini. Bisha tena nikupe somo.
 
Lete uthibitisho? sio maneno tupu.
 
Unaandika kitu usichokijua kwenye ukristo talaka ruksa kama mmoja wenu amezini na ikathibitika hivyo
Na kama pia anaugonjwa wa Kifafa na hakukwambia ukaja jua baadae ndo inaweza kuvunjwa ila kama alikwambia na ukaridhika basi ndoa inaendelea
 
Wewe kila ukiniona unakimbia , maana ninaweka ushahidi mpaka unashindwa cha kusema
msaidie mwenzako kuhusu ndo ya muda mfupi mutah
Koran verse 4:24
hua sina muda wa kupngea na wajinga kama wewe
 
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri

Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana hasa wa maswala haya yahusuyo ndoa lakini kwa upande wangu nimeona ndoa kwa mujibu wa dini ya kiislamu wapo vizuri sana hasa katika swala zima la:-

1)Ndoa kwa ujumla
2)Talaka

NDOA KWA UJUMLA
-Hapa napenda kuzungumzia swala zima la kuoa mke zaidi ya mmoja ama kwa hakika hii kitu ni nzuri sana. Maana licha ya kwamba tamaa ipo kwa mtu mwenyewe lakini pia kuoa mke zaidi ya mmoja inasaidia kupunguza swala zima la michepuko. Pia ukipata wake wazuri kwa kushirikiana nao kwa pamoja unaweza kufika mbali hasa katika swala zima la maendeleo

Lakini changamoto kubwa iliyopo hapa pindi mume anapofariki watoto kuanza kugombania mali hivyo naamini nyie ni mashuhuda kwa baadhi ya familia.

TALAKA
Sasa hapa kwenye talaka ndio wamepatia kabisa yani haiwezekani mke wangu nimfumanie ugoni halafu niambiwe kitatutenganisha kifo huo ni uongo. Haiwezekani mke awe na tabia zisizofaa ikiwemo kudharau ndugu zangu halafu niendelee kumkumbatia kisa kifo ndio kitatutenganisha. Kama mke kakosea umemuadhibu mara mbili ya tatu bado anafanya kosa lile lile talaka ndio halali yake.

Hii sheria ya kwamba kifo kitutenganishe imewaponza watu wengi sana hadi kupelekea wengine kuona ndoa zao ni chungu na kukimbilia kutafuta tulizo nje kisiri (mchepuko) maana wanaona maovu ya wenza wao lakini wanashindwa kuwapa talaka kwa kisingizio cha hadi kifo kitutenganishe.

Kama wewe si muislamu basi funga ndoa hata ya kiserikali lakini uweke kipengele cha kuongeza mke mwingine hapo hatokuwa na jeuri ya kuringa maana kwenye ndoa ya kiserikali hata talaka zipo. Kwa kumalizia kwenye swala la kuoa mke zaidi ya mmoja waislamu mmeupiga mwingi sana

Kumbuka kuoa sio lazima pia ndoa ndoano

Naomba kuwasilisha

This is not a covenant but a gentleman agreement. Marriage is a sacrosanct institution
 
Wakristu wanaenda kinyume na matakwa ya Muumba. Kwanza wanawake ni wengi kuliko wanaume, ukioa mke mmoja wanaobaki wataolewa na nani? Hongera Waislamu, big up! Na wakatoliki nani aliwaambia watawa wasioe au kuolewa? Ninazidi kuamini kuwa dini ni dili la wajanja wachache walioiteka Dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom