Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Biblia inasema hivi

Mithali 20:30

Machubuko ya fimbo husafisha uovu,
Na mapigo hufikia ndani ya mtima.
Huyu ni mwanamke Muhammad anatoa order apigwe , baada ya hapa allah akashusha aya ya wanawake kupigwa
Kwa nini Muhammad anaruhusu wanawake wapewe kipondo? na hasemi chochote kuhusu mwanaume akikosea mwanamke amfanyaje?
  • Do not beat Allah's handmaidens, but when Umar came to Muhammad and said: Women have become emboldened towards their husbands, Muhammad gave permission to beat them.....Sunan Abi Dawud 2146
 
Quran inasema hivi

4:34 Wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kwa kufadhiliwa na Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwa mali yao wanayo yatoa. Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Mwenyezi Mungu ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni. Wakikut'iini msiwatafutie njia ya kuwaudhi bure. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye aliye juu na Mkuu.

4:35 Na mkichelea kutakuwapo mfarakano baina ya mke na mume basi pelekeni muamuzi kutokana na jamaa za mume, na muamuzi kutokana na jamaa za mke. Wakitaka mapatano Mwenyezi Mungu atawawezesha. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi Mwenye khabari.
 
Mwanamke haanzi kupigwa tu...dhumuni la kuoa mwanamke ni kuwa amtii mumewe. Ndoa ni uskivu na utiifu...ikiwa mwanamke ni mkaidi hataki kukuskiliza

Kwanza anapewa nasaha

Pili ikiwa mume amemnasihi na bado hataki kumsikiliza wala kumtii, inatakiwa umuhame kitanda yaani usilale nae

Tatu ,ikiwa bado anaendelea na ukaidi, sio mtiifu hapa unatakiwa umpe discipline kidogo pigo ambalo sio la kuhatarisha uhai wake.

Kama Biblia inavyosema kwenye kitabu cha Mithali 20:30

"Mapigo na majeraha huusafisha ubaya, nayo michapo hutakasa utu wa ndani."
 
Unapo ongea weka na nukuu , umesema vitabu vilikuwepo vikawekwa mikono , hili unabidi ueleze kwa undani kwanza ulete ambacho akina mikono na ulete chenye mikono
Mfano leta hivi vitabu vya allah unavyovitaj Torati ya allah , Zaburi ya Allah na Injili ya Allah
weka original na weka iliyotiwa mikono nasubiri
Quran 2:78-79
 
Quran inasema hivi

4:34 Wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kwa kufadhiliwa na Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwa mali yao wanayo yatoa. Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Mwenyezi Mungu ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni. Wakikut'iini msiwatafutie njia ya kuwaudhi bure. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye aliye juu na Mkuu.

4:35 Na mkichelea kutakuwapo mfarakano baina ya mke na mume basi pelekeni muamuzi kutokana na jamaa za mume, na muamuzi kutokana na jamaa za mke. Wakitaka mapatano Mwenyezi Mungu atawawezesha. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi Mwenye khabari.
Issue ipo kwa Allah kutamka wanawake wapigwe , na hakujihusisha kabisa na wanaume wakikosea wafanywaje
  • Issue ilikuwa baada ya muhammad kuruhusu wanawake wapigwe, wanawake wakaandaman mpaka kwa muhammad kumlalamikia kwa nini kasema wapigwe, muhammad akawaambie wale ambao walikuja wakilalamika kupigwa sio wanawake bora,
    • Do not beat Allah's handmaidens, but when Umar came to Muhammad and said: Women have become emboldened towards their husbands, Muhammad gave permission to beat them.....Sunan Abi Dawud 2146
 
Issue ipo kwa Allah kutamka wanawake wapigwe , na hakujihusisha kabisa na wanaume wakikosea wafanywaje
  • Issue ilikuwa baada ya muhammad kuruhusu wanawake wapigwe, wanawake wakaandaman mpaka kwa muhammad kumlalamikia kwa nini kasema wapigwe, muhammad akawaambie wale ambao walikuja wakilalamika kupigwa sio wanawake bora,
    • Do not beat Allah's handmaidens, but when Umar came to Muhammad and said: Women have become emboldened towards their husbands, Muhammad gave permission to beat them.....Sunan Abi Dawud 2146
Mwanaume haongozwi na mwanamke...Dini ya uislam ishaweka hivyo na itabaki kuwa hivyo. Mwanaume ni mchungaji wa familia yake (mke na watoto) wanapokosea yeye ndie hutoa discipline.

Hakuna mfugaji anaongozwa na mifugo yake.upo!
 
Hili la kusema uislamu ulikuwepo hakuna anae weza kuthibitisha
Hakuna historia yoyote inayo support uwepo wa uislamu kabla ya Muhammad, wote hao mitume wa allah toka adamu, musa , sijui daudi mara issa hakuna hata mmoja kaacha ata sura moja ya kitabu chake , vitabu vyao vyote havijulikani vinatajwa tu na koran kwamba vilikuwepo
IMG-20220216-WA0002.jpg
 
Mwanamke haanzi kupigwa tu...dhumuni la kuoa mwanamke ni kuwa amtii mumewe. Ndoa ni uskivu na utiifu...ikiwa mwanamke ni mkaidi hataki kukuskiliza

Kwanza anapewa nasaha

Pili ikiwa mume amemnasihi na bado hataki kumsikiliza wala kumtii, inatakiwa umuhame kitanda yaani usilale nae

Tatu ,ikiwa bado anaendelea na ukaidi, sio mtiifu hapa unatakiwa umpe discipline kidogo pigo ambalo sio la kuhatarisha uhai wake.

Kama Biblia inavyosema kwenye kitabu cha Mithali 20:30

"Mapigo na majeraha huusafisha ubaya, nayo michapo hutakasa utu wa ndani."
  • Hilo pigo ambalo sio la kuhatarisha uhai tukubali ni wewe unaongezea kwenye koran maana imeandikwa apewe kipigo haijasema cha namna gani
  • Allah pia hajasema kama mwanaume atamkosea mwanamke , mwanamke atoe adhabu gani ilo kakaa kimya kabisa kwa nini?
 
Kati ya ivi vitabu Torati ya allah , Zaburi ya Allah na Injili ya Allah na Koran vipi vimetangulia?
Imeanza Torati aliyopewa Musa

Ikafuata zaburi aliyopewa Dawoud

Kisha ikaja injili aliyopewa Issa( Yesu) mwana wa mariam

Na mwiso ikaja Quran aliyoteremshiwa Muhammad
 
Mwanaume haongozwi na mwanamke...Dini ya uislam ishaweka hivyo na itabaki kuwa hivyo. Mwanaume ni mchungaji wa familia yake (mke na watoto) wanapokosea yeye ndie hutoa discipline.

Hakuna mfugaji anaongozwa na mifugo yake.upo!
Ni vizuri umekiri mwanamke kwa usilamu ni kama mfugo, mwanaume anawafuga na kuwapiga, hilo tumemaliza
 
Imeanza Torati aliyopewa Musa

Ikafuata zaburi aliyopewa Dawoud

Kisha ikaja injili aliyopewa Issa( Yesu) mwana wa mariam

Na mwiso ikaja Quran aliyoteremshiwa Muhammad
Haya leta hivyo vitabu sura moja moja kila kimoja
weka nakala halisi ilivyo shushwa na allah na kilichotiwa mikono
 
  • Hilo pigo ambalo sio la kuhatarisha uhai tukubali ni wewe unaongezea kwenye koran maana imeandikwa apewe kipigo haijasema cha namna gani
  • Allah pia hajasema kama mwanaume atamkosea mwanamke , mwanamke atoe adhabu gani ilo kakaa kimya kabisa kwa nini?
Biblia inafundisha kuwa ukimuoa mwanamke halafu hukumkuta BIKRA basi inatakiwa mwanamke huyo APIGWE MAWE NA WANAUME WOTE WA MJI HUO MPAKA AFE

Kumbukumbu la Torati22:

20 Lakini likiwa ni kweli neno hili, la kutoonekana kwake yule kijana alama za ubikira;
21 na wamtoe nje yule kijana mlangoni pa nyumba ya baba yake, na waume wa mji wake wampige kwa mawe hata afe; kwa vile alivyofanya upumbavu katika Israeli, kwa kufanya ukahaba katika nyumba ya baba yake; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.
 
Haya leta hivyo vitabu sura moja moja kila kimoja
weka nakala halisi ilivyo shushwa na allah na kilichotiwa mikono
Una akili timamu kweli yaani kitu halisi kilishapotea halafu unataka nikuletee kama kilivyokuwa!!! Maandiko yaliyobaki katika uhalisia wake ni Quran tu..itafute uisome
 
Wanawake wa kikristo wanaoolewa bila ya kuwa na BIKRA inatakiwa WAPIGWE MAWE MPAKA WAFE...

Sio maneno yangu bali ni biblia yenu wenyewe ndio inawaamriaha hivyo
 
Biblia inafundisha kuwa ukimuoa mwanamke halafu hukumkuta BIKRA basi inatakiwa mwanamke huyo APIGWE MAWE NA WANAUME WOTE WA MJI HUO MPAKA AFE

Kumbukumbu la Torati22:

20 Lakini likiwa ni kweli neno hili, la kutoonekana kwake yule kijana alama za ubikira;
21 na wamtoe nje yule kijana mlangoni pa nyumba ya baba yake, na waume wa mji wake wampige kwa mawe hata afe; kwa vile alivyofanya upumbavu katika Israeli, kwa kufanya ukahaba katika nyumba ya baba yake; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.
Jadili hili kwanza ndio urudi kwenye torati
Issue ilikuwa baada ya muhammad kuruhusu wanawake wapigwe, wanawake wakaandaman mpaka kwa muhammad kumlalamikia kwa nini kasema wapigwe, muhammad akawaambie wale ambao walikuja wakilalamika kupigwa sio wanawake bora,
  • Do not beat Allah's handmaidens, but when Umar came to Muhammad and said: Women have become emboldened towards their husbands, Muhammad gave permission to beat them.....Sunan Abi Dawud 2146
 
Una akili timamu kweli yaani kitu halisi kilishapotea halafu unataka nikuletee kama kilivyokuwa!!! Maandiko yaliyobaki katika uhalisia wake ni Quran tu..itafute uisome
Ndio maana nataka mdahalo na watu makini
Huwezi kusema kitu kilikuwepo mara kikawekwa mikono mara kikapotea kuwa makini kijana, hili usirudie tena
 
Usimsingizie ALLAH uongo...hakuna kiumbe muovu ulimwenguni kama mwenye kumzulia uongo Mwenyezi Mungu. Watch out kid.

Ni hivi Wanaadamu na Majini wote tumepewa nafsi zenye free will (uamuzi wa kufanya mema au mabaya).

Mwenyezi Mungu ametakasika juu ya dhulma.Infact amejiharamishia dhulma.Hadhulumu waja wake ila sisi waje ndio wenye kujidhulumu wenyewe.

Iblis l.a kama kiumbe wa ALLAH hakushurutishwa kufanya dhambi ya kumgomea amri ya Mungu, juu ya kumsujudia Adam. IBLIS kwa utashi wa akili na nafsi yake alichagua uasi badala ya utii.

Kinachokuchanganya ni uwezo wa ALLAH kujua what will happen next.ALLAH ana elimu juu ya kila kitu kilichotokea, kinachotokea na kitakachotokea. Hasinzii wala halali, yupo macho muda wote anaangalia yanayoendelea katika ulimwengu huu wa fujo. Iblis kabla ya kuasi ALLAH alishajua kuwa atakuja tu kuasi na baada ya kuasi na kumshawishi Adam kula tunda nini kitakuja kutokea. Infact licha ya kuwa tumepewa free will kuchagua kutenda mema au mabaya bado Mwenyezi Mungu anajua machaguzi tutakayoyachagua hapa duniani na yapi mafikio yetu baada ya machaguzi haya.
Napo debate na wewe unatakiwa uwe umesoma dini yako na unaelewa, hakuna free will kwa Allah , allah ameweka kila kitu kabla hujazaliwa
wewe ni wa mtoni au janah kashaandika ata ufanyeje huwezi badili
  • Hadith inaweka wazi malaika ukiwa tumboni anakuandikia wewe ni wa motoni au Janah
    • ....Allah sends an angel and orders him to write four things, i.e., his provision, his age, and whether he will be of the wretched or the blessed (in the Hereafter). Then the soul is breathed into him. And by Allah, a person among you (or a man) may do deeds of the people of the Fire till there is only a cubit or an arm-breadth distance between him and the Fire, but then that writing (which Allah has ordered the angel to write) precedes, and he does the deeds of the people of Paradise and enters it; and a man may do the deeds of the people of Paradise till there is only a cubit or two between him and Paradise, and then that writing precedes and he does the deeds of the people of the Fire and enters it." Sahih al-Bukhari 6594
  • Kuna kisa Al Khidr alimuua Mtoto wa kiume , Muhammad kaelezea wazi huyu mtoto alipangiwa na Allah atakuwa Kafir, allah alimpangia atakuwa Kafir na akapanga auliwe kwa sababu kampangia hivyo, na dogo akachinjwa kikatili
    • Koran 18:80. Na ama yule kijana, wazazi wake walikuwa ni Waumini. Tukakhofu asije watia mashakani kwa uasi na ukafiri.
      • Prophet (ﷺ) said: "The boy that Al-Khidr killed was destined to be a disbeliever the day he was created.'" Jami` at-Tirmidhi 3150
  • Kuna msiba ulitokea wa mtoto mchanga kafariki aisha akamwambia muhammad huyu mtoto anaenda mbinguni, Muhammad akasema Si hivyo , Allah ameumba wa motoni na wa janah kabla hawajazaliwa
    • ....Muhammad says ..God has created some to go to paradise, doing so when they were still in their fathers’ loins; and He has created others for hell, doing so when they were still in their fathers’ loins.” Mishkat al-Masabih 84
 
Allah amekamilika kimajina, kisifa na kiutendaji ametakasika dhidi ya sifa zote za upungufu.

Yes wanaadamu tuna free will (uamuzi wa kutenda mema au mabaya). Mfano nikuulize wewe spensa_e kitu gani kinakufanya uukatae Uislam na endapo utakufa hujaukubali uislam , Je utakwenda kumlaumu ALLAH kwa kukutia Motoni ili hali duniani ulipewa uhai (umri), afya na akili ya kutambua njia sahihi na ya haki ila kwa nafsi yako yenye kiburi ukaamua kuikataa dini ya haki.

Je siku ya Qiyama utakuja kumlaumu ALLAH? au utailaumu nafsi yako mwenyewe??
 
Napo debate na wewe unatakiwa uwe umesoma dini yako na unaelewa, hakuna free will kwa Allah , allah ameweka kila kitu kabla hujazaliwa
wewe ni wa mtoni au janah kashaandika ata ufanyeje huwezi badili
  • Hadith inaweka wazi malaika ukiwa tumboni anakuandikia wewe ni wa motoni au Janah
    • ....Allah sends an angel and orders him to write four things, i.e., his provision, his age, and whether he will be of the wretched or the blessed (in the Hereafter). Then the soul is breathed into him. And by Allah, a person among you (or a man) may do deeds of the people of the Fire till there is only a cubit or an arm-breadth distance between him and the Fire, but then that writing (which Allah has ordered the angel to write) precedes, and he does the deeds of the people of Paradise and enters it; and a man may do the deeds of the people of Paradise till there is only a cubit or two between him and Paradise, and then that writing precedes and he does the deeds of the people of the Fire and enters it." Sahih al-Bukhari 6594
  • Kuna kisa Al Khidr alimuua Mtoto wa kiume , Muhammad kaelezea wazi huyu mtoto alipangiwa na Allah atakuwa Kafir, allah alimpangia atakuwa Kafir na akapanga auliwe kwa sababu kampangia hivyo, na dogo akachinjwa kikatili
    • Koran 18:80. Na ama yule kijana, wazazi wake walikuwa ni Waumini. Tukakhofu asije watia mashakani kwa uasi na ukafiri.
      • Prophet (ﷺ) said: "The boy that Al-Khidr killed was destined to be a disbeliever the day he was created.'" Jami` at-Tirmidhi 3150
  • Kuna msiba ulitokea wa mtoto mchanga kafariki aisha akamwambia muhammad huyu mtoto anaenda mbinguni, Muhammad akasema Si hivyo , Allah ameumba wa motoni na wa janah kabla hawajazaliwa
    • ....Muhammad says ..God has created some to go to paradise, doing so when they were still in their fathers’ loins; and He has created others for hell, doing so when they were still in their fathers’ loins.” Mishkat al-Masabih 84
Hawezi kuwa Mungu ikiwa hajui mambo yatakayotokea mbeleni, Ameziumba nafsi na nafsi zote zilikiri kuwa ALLAH ndie mola wetu.

Quran 7:172.

Na pale Mola wako Mlezi alipo waleta katika wanaadamu kutoka migongoni mwao kizazi chao, na akawashuhudisha juu ya nafsi zao, akawaambia: Je, Mimi si Mola Mlezi wenu? Wakasema: Kwani! Tumeshuhudia. Msije mkasema Siku ya Kiyama sisi tulikuwa tumeghafilika na hayo.
173. Au mkasema: Hakika baba zetu ndio walio shirikisha kabla yetu, na sisi ni dhuriya zao tu baada yao. Basi utatuangamiza kwa sababu ya waliyo yafanya wapotovu?
174. Ndio kama hivyo tunavyo zipambanua Ishara, kwa kutaraji kuwa watarejea.

spensa_e na wenzako hoja pekee mtakayokuja nayo siku ya Qiyama ni hiyo aya nambari 173...kuwa mlizaliwa na wazazi makafiri na ninyi mkarithi ukafiri wao uliowapelekea kwenda Motoni.

Hamtakuwa na hoja kwasababu Mtume Muhammad aliwajia kwa hoja za wazi kabisa na mnefikishiwa ujumbe ila kwa ujeuri na kiburi mmemkataa tu.So hoja ya kusingizia Qadar ya ALLAH ni hoja dhaifu tu mithili ya nyumba ya buibui
 
Back
Top Bottom