Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Na je mume akipata matatizo mke aende wapi?? Dini ya kiislamu imewaweka wanawake chini sana
Anaruhusiwa kuomba talaka, na akapewa akaenda kuolewa na mtu mwingine,..mfano umeolewa na mwanaume, hapigi mashine vzr au jogoo hapandi mtungi kabisa, haudumii familia, au anakutesa kama kipigo cha mbwa Koko ...uislaam unaelekeza mwanamke kwenda kwa kiongozi wa dini(kadhi) akaimba talaka yake.
 
Nimeshagundua ni mtu wa namna gani hawa ni wakuwapuuza tu.
Imagine unakutana na mtu yupo uchi anakimbiza jiwe limebeba nguo zake , ila nataka unijuze hili jiwe lilobeba nguo za Musa na kukimbia , Allah alilipa miguu au lilikuwa linaruka kama chura ?
 
Hizi habari umezipata wapi ?
Mubarridi njoo saidia vijana , wanashangaa Allah kulifanya jiwe kukimbia na nguo za Musa wakati Musa yupo uchi anaoga
Watu wa Bunu isra'il walikuwa wanasema Musa ana scrotal hernia (mabusha) , Allah akaamua Musa akimbie uchi waone machine zake kwamba ni kubwa tu na sio mabusha

Nukuu hii apa kasome yote kabla hujajibu
...By Allah, nothing prohibits Moses to take a bath along with us, but scrotal hernia. Moses once went for a bath and placed his clothes on a stone and the stone moved on with his clothes. Moses ran after it saying: 0 stone, my clothes,0 stone, my clothes, and Banu Isra'il had the chance to see the private parts of Moses,...Sahih Muslim 339
 
Kasome Dini acha ubishi.
Mungu ametupa akili kwa sababu.. Zamani ulikua huwezi to dare kuhoji wala kuuliza na mimi kama muilsm na nimezaliwa kwenye uislam nakubali kuwa dini yetu ina contradictions nyingi pia. Mwisho wa siku nitabaki kuwa Muislam sababu ndio dini niliozaliwa nayo na kurithishwa ila lazima nitumie akili Mungu alienipa ku question kitu ambacho nakiona hakipo sawa.
 
No comments.
 
miongoni mwa mambo ambayo kwenye uislam ni mchungu ni swala la talaka, sema watu wametumia huria sana, nadhani hawafahamu uislamu vizuri, mtu anaacha ndoa kama nne kama shilole kweli.. sidhani kama hii ni sawa!
 
Imagine unakutana na mtu yupo uchi anakimbiza jiwe limebeba nguo zake , ila nataka unijuze hili jiwe lilobeba nguo za Musa na kukimbia , Allah alilipa miguu au lilikuwa linaruka kama chura ?
Nina uhakika hilo Jiwe lililo iba nguo za Musa na kukimbia nazo ndio hilohilo linalosujudiwa huko Maka, na hakika lina uwezo pia hata wa kusamehe dhambi za waumini wake wote na wakarithi pepo ya kunywa na kuogelea kwenye mito ya pombe huku totoz za kumwaga zinawasubiri.

Wakati huohuo Allah na Malaika zake wanakesha Kumswalia Mtume na kumtakia rehema.
Ha...ha...ha
Ukisikia kitabu cha Fiction ndio hicho.
Ni Fix kwenda mbele.
 
Hili jiwe litakuwa ndio lenyewe wanaloliabudu , kwa Musa Allah alilipa miguu na mikono likatoka nduki na nguo za Musa
Ila siku ya mwisho atalipa ulimi na macho kutoa hukumu kwa waislamu na kushuhudia Alie ligusa kwa moyo wa kweli

Nukuu
Muhammad said about the Black Stone: "By Allah! Allah will raise it on the Day of Resurrection with two eyes by which it sees and a tongue that it speaks with, testifying to whoever touched it in truth." Jami` at-Tirmidhi 961
 
Kijana sasa unatumia akili zako bcz hutaki kusoma ila ukisoma dini ayo mambo yte ni Sahali kabisaaa

hlf unaposema kuna contradictions m nakufundisha nenda kwenye sura ya 2:2 isome aya yake halafu itakupa jibu
 
Zama zipi izo ambazo ulikua huwezi kuhoji?

embu twambie na sie tuzijue
 
miongoni mwa mambo ambayo kwenye uislam ni mchungu ni swala la talaka, sema watu wametumia huria sana, nadhani hawafahamu uislamu vizuri, mtu anaacha ndoa kama nne kama shilole kweli.. sidhani kama hii ni sawa!
Kuna waislamu ambao wanafuata mienendo ya dini ya kiislamu na kuna waislamu jina
Nadhani nitakua nimekufafanulia jambo lko vizuri
 
Zama zipi izo ambazo ulikua huwezi kuhoji?

embu twambie na sie tuzijue
Nikupe mfano mdogo. Hivi unajua mpaka Leo sisi kama waislam tunapingana kuhusu hadiths? Imams wakubwa duniani wanapingana Tena kwenye kwenye vitabu vya Sahih Muslim na Sahih Boukhari na tena wengine hawaamini kabisa hadiths wanasema zimeandikwa miaka 300 baada ya Muhammad kufariki tena na watu tu.
 
Mimi mwenzako siku nilikaa nikataka kujua why kuna dini tofauti? Lengo la mungu ilikua ni lipi ina maana alijichanganya maana sisi wote ni wake na sidhani Allah ni mbaguzi na mwenye matabak kuna kitu hakipo sawa kwenye maswala ya hizi dini. Haiwezekani baadhi ya watu ni Makafir na wengine eti tumekamilika ndio tuko sahihi je na wale ni wa nani? Ndio maana nilikwambia think outside the box usiishi kwa kukariri.. Dini yetu yenyewe inasema tafuta knowledge mpaka China. Hii dunia si ya Leo.
 
mkuu tunasema mke mmoja kwa mume mmoja.
wewe waume wanne kwa mke mmoja umewatoa wapi,na kwa mwanamke malaya mwenye mahawala wanne mwenye mimba ni mmoja tu,au uislam unaamini vipi ktk kutungusha mimba??

quran inadhaniwa kwamba imetoa majibu jumla kwa kila kitu.hii ni kwa mujibu wa waumini wake.lakini ukweli ni kwamba matamanio ya kingono kwa mwanaume hayatosherezwi kwa wake 4,kama ilishindikana kwa mmoja.
Mungu wa kiislam anaonekana kusikiliza sana matakwa ya watu wake kuliko maamuzi yake.
 
usiseme kwa maneno tupu lete ushahidi kua imamu huyu anapinga embu lete ushahidi hapa nikuelimishe
 
Tatizo lako unaendeshwa na matamanio ya akili yako hlf kusoma dini hujasoma unaongea vitu ambavyo ata yule alomaliza juzuu Amma ana uwezo wa kuvijibu
 
Kuna tofauti kati ya ardhi yenye rutuba na isiyo yenye rutuba ; yenye rutuba mvua hata ya kiasi tu inaweza kutoa mazao lakini isiyo na rutuba hata mvua ije ya kiasi gani haiwezi kuotesha mazao na kushamiri

Usibishane na mtu mjinga aliyedhamiria kubaki kwenye njia zake za upofu ni sawa na kumwagilia ardhi isiyo na rutuba..
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…