Mi kuongezeka kwa Waislamu na Uislamu sina shida nako kabisa kwakuwa.
Mwalimu wetu Yesu Kristo aliisha tuasa kitambo.
Mathayo 7:12
Basi yo yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo torati na manabii.
13 Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo.
14 Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.
15 Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.
Njoo kwa Yesu Kijana yeye ndiye
NJIA, KWELI na UZIMA