Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

“Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” saḥīḥ Muslim 2814
 
Uislamu ni dini ya haki sio tu ndoa mambo mengi katika uislamu yametolewa ufumbuzi ila wachache katika watu ndio wataelewa.
Hata mirathi pia imewekwa wazi,na sio mirathi tu Bali pia ukarimu,wema,haki,dhulma na uadilifu vyote vipo wazi.
 

"I looked for the Messenger of Allah and I put my hand on his hair." He said: "Your Shaitan has come to you." I said: "Don't you have a Shaitan?" He said: "Yes, but Allah helped me with him, so he submitted." Sunan an-Nasa'i 3960
 
Mutah boy Kama wewe unatumia koran tu weka wazi kwamba bisha hapa na kataa maandiko ya hadith ili nikupige kwa kutumia koran tu

Alafu usilete maana zako za shetani wakati muhammad ameweka wazi kabisa shetani wake kawa muislamu , alafu wewe unambishia
"I looked for the Messenger of Allah and I put my hand on his hair." He said: "Your Shaitan has come to you." I said: "Don't you have a Shaitan?" He said: "Yes, but Allah helped me with him, so he submitted." Sunan an-Nasa'i 3960
 
Katika swala la ndoa dini ya kiislamu ipo vizuri

Ulichokosea ni kusema ipo vizuri bila kumalizia SANA

Uzi wako ungekuwa na maana sn km ungeongezea vizuri sana.

Kifupi ndoa zenu zina uhalisia
 
Mutah boy kwa nini unampinga Muhammad ambae amesema mna devil companion
...“Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” saḥīḥ Muslim 2814

companion -one of a pair of things that go together
 
حَدَّثَنَا عُثْمَانُ بْنُ أَبِي شَيْبَةَ، وَإِسْحَاقُ بْنُ إِبْرَاهِيمَ، قَالَ إِسْحَاقُ أَخْبَرَنَا وَقَالَ، عُثْمَانُ حَدَّثَنَا جَرِيرٌ، عَنْ مَنْصُورٍ، عَنْ سَالِمِ بْنِ أَبِي الْجَعْدِ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ مَسْعُودٍ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏"‏ مَا مِنْكُمْ مِنْ أَحَدٍ إِلاَّ وَقَدْ وُكِّلَ بِهِ قَرِينُهُ مِنَ الْجِنِّ ‏"‏ ‏.‏ قَالُوا وَإِيَّاكَ يَا رَسُولَ اللَّهِ قَالَ ‏"‏ وَإِيَّاىَ إِلاَّ أَنَّ اللَّهَ أَعَانَنِي عَلَيْهِ فَأَسْلَمَ فَلاَ يَأْمُرُنِي إِلاَّ بِخَيْرٍ ‏"‏ ‏.‏
 
Unataka kusema nimeumbwa kwa moto au?
Koran 15:27. Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto
 
Ndio nimekujibu mutah boy ,kwa nini unamuita mtu shetani wakati hajaumbwa kwa moto, ukiacha kumpinga Allah ndio tutajadiliana
 
Mutah boy kwa nini unampinga Muhammad ambae amesema mna devil companion
...“Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” saḥīḥ Muslim 2814

companion -one of a pair of things that go together
Sasa hapa cha ajabu ni kipi? Kila binaadamu ana companion (rafiki) wa kijini , once unapozaliwa unaambatana nae mpaka unapokufa. Na hii ni elimu ya ghaibu ambayo ALLAH alimfunulia Mtume wake awafahamishe watu. Yes huyu jini unaeambatana nae anaweza akasilimu na kuwa na imani moja na muislam au anaweza akawa ni muasi na kupelekea kumchochea mwanadamu afanye maasi. SHIDA NINI HAPO?

Najua christians elimu kuhusu majini huwa hamna na kama mnayo basi ni ya juu juu, hamuwaelewi kiundani cuz mnajua majini wote ni Mashetani kitu ambacho sio kweli Majini wapo waumini na pia wapo waliokufuru ambao huitwa (mashetani/devils). Na wanadamu kadhalika wapo walioaminu na pia wapo wasioamini (mashetani/devils/unbelivers/disbelivers/kuffar).
 
WE KAFIRI NIAMBIE Wapi Hapo Katika Hiyo Hadithi Inasema Shetani Analinda Waislam...? HAKUNA WALA HAITAWAHI KUWEPO KWAKUA UPO HAPA UNAFANYA KAZI YA BABA YAKO SHETANI KUPOTOSHA WATU..View attachment 2121064
Kuna kitu huelewi bisha kwanza kwamba Hadith haisemi shetani Kawa muislamu ndio tuendelee
 
Rafiki wa kijini kwa mwanadamu anaitwa (Qareen)...huyu Qareen akiwa muovu anakuamrisha maasi ndio huitwa shetani (devil) sawa na ukiwa na rafiki wa kibinadamu anaekuamrisha ufanye madhambi tu( huyu rafiki ataitwa Shetani).
 
Hii elimu mpe Lotajr nafikiri atakuwa kashakuelewa
 
Sheytwaan (Shetani) ni sifa ya kiumbe muovu/muasi kwa Mungu. So either akiwa jini au mwanadam as long as ni muasi/muovu amekataa kumuamini Mungu...huyu ataitwa shetani (sifa).

Shetani ni kivumishi.

Binadamu/Jini/Iblis /ifreet ni Nomino.

Wapi msipoelewa.?
 
Faida ya kuoa mabinti wa kiislam ni kuwa hawajasoma...hivyo ni rahisi kukadanganya kama katoto...ubaya vinakuwaga viswahili sana
 
Mbona hao viumbe hawapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…