Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Msome mwenzako hapo juu kaweka sawa ulinzi mnaopatiwa na jini
 
Huyo kafiri spensa_e anakimbia kujibu maswali. Mpaka sasa hajajibu upumbavu wa Mungu ni upi aliyeandika Paulo?
 
Msome mwenzako hapo juu kaweka sawa ulinzi mnaopatiwa na jini
Hakuna ulinzi unaopewa na jini....Mwanadamu anapozaliwa tu , ALLAH humpa ulinzi wa malaika watano. Malaika wawili wapo mbele na nyuma yako, wawili wapo kushoto na kuliani kwako na mwingine yupo karibu na wewe anakuita ufanye mambo ya kheri. Huu ndio ulinzi wa mwanadamu anaopewa na Mungu. Malaika hawa wanahakikisha kuwa hakuna shari/ kiumbe chochote kitakachoweza kukudhuru isipokuwa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu.
 
Mutah boy shida husomi nimeshawela majibu mda mrefu Sana

Haujaweka jibu we kafiri

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Jadilianeni pasi na kutukanana au kutoleana maeneno ya kashfa. Waislam nawakumbusha kuwa msiwatukane wasiokuwa waislam ili wasije wakamtukana ALLAH pasi na kujua.
 
Weka andiko
 
Kuna kitu huelewi bisha kwanza kwamba Hadith haisemi shetani Kawa muislamu ndio tuendelee
Kwanza wewe huelwi hata dini yako, maana kama unaelewa usingeliongelea kuhusu shetani.
4:41.LUKA. Inaeleza wazi kuwa Shetani ndie aliesema kuwa Yesu ni mwana wa Mugu. Kishwa wewe unafuata hayo maneno ya Shetani na kujinadi @ mimi ni mkriso.
Pia unatakiwa ujue kuwa Bibilia sio kitabu cha mungu. Soma 1:1. LUKA.
Na uelewe kuwa KRISO sio dini bali ni jila ama cheo cha Bwana Yesu. 4:25-26. YOHANA.
Dini ya Mungu ni hii QURAN. 42:13.
YESU alisema jitieni nira yanu, njifunze kwangu. Wakristo mnao waowa wanawake hayo mafunzo ya kuowa mlijifunza kwa nani?
 
Nimekuwekea maneno ya Muhammad akisema wazi waislamu wote mmeambatanishwa na devil from jinn wakamuuliza mpaka yeye akajibu akasema ndio ata Mimi ninae devil from jinn , ila Allah amemfanya shetani wake Kawa muislamu na shetani wake anamshahuri mazuri

Muhammad, said, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” They said, “Even you, O Messenger of Allah?” The Prophet said, “Even me, yet Allah helped me against him until he embraced Islam. He does not order me to do anything but good saḥīḥ Muslim 2814

 

Msaidie kafiri mwenzako kwanza​

1 Wakorintho​

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
Usishangae kukutana na Kauli kama hizo za kufru kusema kuwa Mungu ana upumbavu au udhaifu.

ALLAH amewaelezea kina spensa na wenzake katika Aya hii ndani ya Quran

39:67. Na wala hawakumhishimu Mwenyezi Mungu kama anavyo stahiki kadiri yake. Na Siku ya Kiyama ardhi yote itakuwa mkononi mwake, na mbingu zitakunjwa katika mkono wake wa kuume. Subhanahu wa Taa´la Ametakasika na Ametukuka na hayo wanayo mshirikisha nayo.
 
Tuache kuwa hujui kiarabu wala maana ya Qareen kama ilivyotajwa kwenye hadith.

Ikiwa kama wewe ni mkweli hebu tupe andiko iwe kwenye Quran au hadith linalosema Mungu amewapa kazi majini/mashetani wawalinde waislam.
 
Embu Ilete kwa kiswahili Kama ilivyo tuijadili hapa Chap Maana naona unajifunga mwenyewe [emoji1787][emoji1787]
"I looked for the Messenger of Allah and I put my hand on his hair." He said: "Your Shaitan has come to you." I said: "Don't you have a Shaitan?" He said: "Yes, but Allah helped me with him, so he submitted." Sunan an-Nasa'i 3960

Hapa Muhammad anakiri shaitan ambae yupo nae Kawa muislamu
 
Tuache kuwa hujui kiarabu wala maana ya Qareen kama ilivyotajwa kwenye hadith.

Ikiwa kama wewe ni mkweli hebu tupe andiko iwe kwenye Quran au hadith linalosema Mungu amewapa kazi majini/mashetani wawalinde waislam.
Sio Mimi ndio nimeandika shaitan au devil ni nyiee wenyewe waislamu ndio mmeandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…