Katika ukanda wote wa kusini sijaona wa kuwafikia wanyakyusa katika elimu na power, They have the southern crown!

Wanufaika wengi wa elimu ya hio shule ni wakazi wa karibu na shule, hivyo wanyakyusa huwa ni kawaida kuwa wengi hapo saint francis. Ni sawa na Kaizarage ya Bukoba wanafunzi wengi wahaya wa Bukobda.
Ndio maana nikasema Mnyakyusa ni Mhaya aliechangamka sio unaona umeitaja Bukoba,. Mkitoa Rais wa kuiongoza Nchi hii Mimi nitakua nipo mifupa huko chini
 
Ndio maana nikasema Mnyakyusa ni Mhaya aliechangamka sio unaona umeitaja Bukoba,. Mkitoa Rais wa kuiongoza Nchi hii Mimi nitakua nipo mifupa huko chini
Hakuna aijuae kesho.

Kuna mtu aliwahi kudhani kutakuwa na raisi msukuma ??

By the way mi sio mnyakyusa, i just state the facts
 
Kwenye power nako si haba nafasi kama mawaziri kina Profesa Mwakyembe, Profesa Mwakyusa wamewakilisha vyema.

When you talk about power, you refer to the present and not to political history!! Hao uliowataja are politically dead na ndio maana mmoja wao amekimbilia kwenye kuhubili dhidi ya masuala ya USHOGA!!
 
Hakuna aijuae kesho.

Kuna mtu aliwahi kudhani kutakuwa na raisi msukuma ??

By the way mi sio mnyakyusa, i just state the facts
Chato imegeuka kua Gbadolite, siongei sana nikamala wewe ni Mnyakyusa wa mchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…