zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Ndio maana nikasema Mnyakyusa ni Mhaya aliechangamka sio unaona umeitaja Bukoba,. Mkitoa Rais wa kuiongoza Nchi hii Mimi nitakua nipo mifupa huko chiniWanufaika wengi wa elimu ya hio shule ni wakazi wa karibu na shule, hivyo wanyakyusa huwa ni kawaida kuwa wengi hapo saint francis. Ni sawa na Kaizarage ya Bukoba wanafunzi wengi wahaya wa Bukobda.