Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Buguruni ktk ghorofa za maafisa wa polisi mkurya asubuh akiwa ktk harakat zake za kusambaza mayai akakutana na jamaa anapiga mswak ktk ghorofa la mwanzo lina rang nyeus iliyochakaa alimwita na kumwambia apeleke trei tatu mlango namb khamsin,kupigwa ni moja ya njia za kukuweka sawa katika mapambano........ila dah...usiombee kupigwa....inauma hatariiii...
Kitu ambacho hupendi kufanyiwa hupasw kumfanyia mwenzioKatika vitu maishani mwangu sitafanya ni kumtapeli mtu hasa asiye nacho. Naona dhambi mbaya sana.
Nilighairi dakika za mwisho kumpiga mtu kiwanja na mara ya pili kijana wa watu laki 7 ili apate kazi. Na mpaka leo nikasema hapana siwezi kumfanyia mtu hivyo.
Kabisa mkuu.kupigwa ni moja ya njia za kukuweka sawa katika mapambano........ila dah...usiombee kupigwa....inauma hatariiii...
Sasa hizi karma tunazoambia zinafuta watu mm huwa sizielewi isee mtu katapeli na bado mavyeo yanamfuata tu.Ni vitu vya kawaid.a nishatapeliwa na rafiki yangu wa utotoni akiwa sasa ni meneja wa bank toa toa pesa hadi laki saba Ili amsaidie jamaa yangu kupata Kazi bank.Pesa akala na akaniruka sijampa pesa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Inasikitisha.
Taratibu za waganga ni kujitenga kidogo na mji. Sasa kuna siku jamaa yangu mmoja fundi aliitwa akarekebishe trecter. Ilipo time mida ya saa nne akaingia mgeni akiwa na Toyota crown mchangamfu balaa.
Akadai yeye alifika hapo miaka miwili ilopita ili apate dawa za kuwa tajiri na kweli kafanyikiwa balaa. Sasa kilichomfanya kurudi pale ni kutowa shukran kwa mganga kwani anahisi asipofanya hivyo utajiri unaweza potea.
Kwanza aliagiza beberu mmoja Mchele na kreti kadhaa za bia na soda ili ifanyike sherehe ya mafanyikio yake. Huyu jamaa yangu baada ya kumaliza kurekebisha trekta ilibidi aburudike hapo. Sio mganga, mkewe , wanawe na wapambe walifurahi.
Sasa jioni jamaa alidai hawezi kumpatia pesa kwani anataka amfanyie kitu kiwe km kumbukumbu. Alidai kuwa anataka amjeengee lodge nzuri iliokaribu na stendi. Kwakua huyu jamaa yangu fundi ni mwenyeji mji ule ilibidi ashirikishwe ktk upatkanaji wa kiwanja mitaa mizuri.
Kesho yake kalamu iliendelea bia za kutosha. Madalali walipewa taarifa nzima. Mganga akawapanga wampige jamaa kwa kupandisha bei maradufu pasi na kujua kuwa wao ndo wanapigwa. Kweli kiwanja kilipatikana kizuri kipo karibu kabisa na stendi. Bei ilikua 60 ml. Mafundi walitafutwa haraka kabla hata pesa ya kiwanja haijatoka.
Ramani nzuri ya lodge ilipatikana, fuso ya kusomba mawe pamoja na mchanga ilitafutwa. Sehemu nzuri wanazofyatua tofali kuonesha yupo serius alivunja tofali tatu kupima ubora.
Madalali walikua na haraka na pesa kwani cha juu Chao ilikua 15 ml. Sasa siku ya mauziano km kawaida ilitafutwa baa nzuri inapochomwa mbuzi safi. Madalali , wenyeviti wa serikali za mitaa, mwanasheria, mganga ,mkewe ,mashahidi kadhaa pamoja na muuza kiwanja na wapambe.
Baada ya mazungumzo ya kina yapande mbili yakisukumwa na bia za kutosha ilibidi waende bank jamaa mgeni akiongozana na mganga, walipofika bank ya nmb jamaa aliingia ndani akamwacha mganga nje, ajabu jamaa alitoka na fuko Moja kwa mpaka ndani ya [emoji146].
Jamaa akamwambia pesa alopata ni 45 ml. Akaomba aongezewe 15 ml ili akamilishe ununuzi hii ilikua tayar ishafika saa kumi so kuanzia kwenda crdb ingewachukua muda. Mganga hakuna na jinsi zaidi kutowa hyo pesa.
Pale baa tayari bili ishafika 260k, walirejea na furaha mganga akiwa kabeba fuko ukichunguza vizuri ni km linanoti kweli. Ajabu Ile bahasha y 15ml ilsahaulika kwa gari. Baada ya maongezi kidogo pale jamaa akaikumbuka Ile bahasha.
Alipoifata ikawa mwisho wa kumuona .
Baada ya muda kupita madalali machale yaliwacheza ikabidi wamfate kufika nje gari hawakuikuta, mganga hakuami kuwa ni kipindi, alidai itakuwa kapata dharura kwani simu zake na 45 ml Bado zipo pale, bia ziliendelea. Baada ya saa 1 ilibidi waikague Ile pesa, hamadi ni makaratasi yaliyopangwa vyema.
Madalali,wenyeviti na wapambe mbio.
Mganga presha ilimpanda na mkewe alizimia pale kwani bili ishafika 300k na usher.
Kweli mganga hajigangi.
Tapeli katapeliwa.Inasikitisha.

Viwango [emoji16][emoji16]Inasikitisha.