Kibishi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 1,139
- 1,031
Nitadili naye mimi mwenyewe tu, nampeleka chocho halafu anakula kipigo cha paka shumeVp siku ukibumiana nae akakuanzishia stail ileile ya kutaka kukuuzia sim???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitadili naye mimi mwenyewe tu, nampeleka chocho halafu anakula kipigo cha paka shumeVp siku ukibumiana nae akakuanzishia stail ileile ya kutaka kukuuzia sim???
Iyo iyo wakati huo Membe anaingoza licha ya kuwa waziri wa mambo ya njeTithi hii hii..😂😂
Nilikua sijui km kuna tofaut kati ya kuzurumiwa na kutapeliwaHapo hakuzulumiwa hapo ni mlitapeliwa[emoji23][emoji23] kaiwada sana changamoto kama hizo.
Wale jamaa wana uzoefu na vurugu usije ukadundwa na kufokolewa vyakoNitadili naye mimi mwenyewe tu, nampeleka chocho halafu anakula kipigo cha paka shume
Unamaanisha alikata tiket ya kurud kabisaKuna kipindi nilikua Ubungo nikawa naenda kuchill kwa pusha wangu mmoja maeneo ya Ubungo. Sasa kuna wadau walikuwa wanafanya kazi pale stendi walikuwa wanakuja kusizi shada pale.
Siku moja wakaja katika stori jamaa akatuambia alimpigia debe abiria mmoja anaenda mkoani mpaka akapata tiketi basi alivyofanikiwa kupanda ndani ya gari, akamuita jamaa, jamaa akasogea dirishani. Abiria akamwambia "nashukuru nimepata gari ndugu yangu" jamaa akamjibu "Usijali kabisa, lakini vizuri ukakata tiketi siku ukitaka kurudi dsm unapanda tu gari. Mteja kwa sifa akalipa nauli 35k akakatiwa tiketi. Jamaa akjipatia 35k kiulaini. Akaamsha. Nilicheka sana, ingawa inasikitisha kwa kiasi fulani.
Ndiyo, kitu ambacho hakipo.Unamaanisha alikata tiket ya kurud kabisa
Jamaa alionyesha ujasirNdiyo, kitu ambacho hakipo.
Mkuu kuna watu maisha yamewapitisha sehemu siyo hawana uoga wowote kabisa.Jamaa alionyesha ujasir
Watu km hao siku wakiibiwa wao wanalalamika hatar mpaka unawaonea hurumaMkuu kuna watu maisha yamewapitisha sehemu siyo hawana uoga wowote kabisa.
Kila mjanja ana mjanja wake.Watu km hao siku wakiibiwa wao wanalalamika hatar mpaka unawaonea huruma
Wanapigika vizuri tu.Wale jamaa wana uzoefu na vurugu usije ukadundwa na kufokolewa vyako
Inaonesha upo vzr kidogo mim na ngum tofaut sichelew kujaa upepo na kuanza kutetemeka mwishowe naanza kulia kabla ngumi hazijaanzaWanapigika vizuri tu.
Kuna teja mitaa ya Hazina alitaka kuniletea kibesi anidhulumu jero yangu, mbele ya mateja wenzie na ana silaha ya bisibisi nikamchakaza fasta.
Tapeli/mwizi kama kakuibia na kidhibiti kipo anaishiwa nguvu automatically. Ukishindwa kumpiga mwenyewe unampigia makelele ya mwizi, raia wanakusaidia kumpiga
Kumdhibiti mwizi siyo lazima uwe mbabe mkuu, 75% lazima umshinde hata kama ana mwili nyumba. Kama huna nguvu, kumshinda mwizi unampigia makelele ya kumjazia watu, bhaaasi.Inaonesha upo vzr kidogo mim na ngum tofaut sichelew kujaa upepo na kuanza kutetemeka mwishowe naanza kulia kabla ngumi hazijaanza
Daaah huo moyo mm Sina kabisa yaani nakataga tamaa mapema Sanaa. Hata iwe kubwa vipi. Najijua Nina hasira Sana nikijaa upepo naweza kuvunja mtu mifupa.Km hapa karume mchikichin kwa sis wauza viat kuna kipind tulikuwa tunazurumiwa sana,anakuja dalal anachukua viat mguu mmoja anakwambia anampelekea mteja wake kuna sehem kamuweka baadae anarud anakwambia kapenda kadhaa anataka mguu wa pil ili itimia pea mdau alipie baada ya hapo yule dalal anahama kijiwe na ww ishakula kwako mnaanza kutafutana ukienda uongoz wa soko anakubal deni na kukulipa kidogokidogo ktk lak anakwambia atatoa elf kum kwa kila wik.
Lkn baadae tukaona hawa dawa yao kumalizana nao kihun akichukua viat vyako unamtafuta muhun mwenzake unamwambia nitafutie jamaa fulan siku akiwa yupo vzr kipesa na kimavaz nishtue,siku akikushtua unamkamata na kumvua kila kitu unamuacha na boksa tu kias chochote cha pesa utakachomkuta nacho iwe kimepungua au kimezid hapo mnakua mmemalizana nae.
Tangu tuanze utaratibu huo siku hiz hata akikuchukulia siku ya pil asubuh anakuja na kukupa utaratibu wa kulipa.
Muda mwingine tabia ya MTU inabadilika kulingana na mazingira kwa hiyo hata ww ukija mazingira haya jazba zako zitapungua tuDaaah huo moyo mm Sina kabisa yaani nakataga tamaa mapema Sanaa. Hata iwe kubwa vipi. Najijua Nina hasira Sana nikijaa upepo naweza kuvunja mtu mifupa.