Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Kama haujawahi kutapeliwa basi bado wewe hujafika mjini, niliuziwa simu Kariakoo 60K , nilijihami mi mtoto wa mjini siwezi kuuziwa Sabuni na kweli alivyonipa tu nikaicheki kweli inawaka vizuri, nikaisweka mfukoni kisha nikamwaambia sepa huku nimeweka uso wa mbuzi.
loh kuja baadae naweka line niwashe inataka codes fulani ambazo sina, kwenda kwa mafundi wote kkoo hawawezi kutoa hizo lock, kucheki mtandaoni wanataka dola 60 sijui huko.
nikaona heee nisije pigwa mara mbili, Bongo na Ulaya coz nitakuwa zuzu la maisha, maadam nisipoweka simcard simu inawaka mpaka mwisho napata calculeta, napiga picha, nasikiliza nyimbo kwenye memory card n.k basi nikawa naitumia kama ipod, ni mwendo wa entertainment tu.
Hahahah sa hv nikiona mtu anauziwa simu za mkononi Kkoo nakuwa emotional, tuweni makini jamani mbinu ni nyingi hujui lini utanasa