Katika umri gani ulifanikisha lengo la kujenga nyumba yako?

39yrs
 
Ningekuwa Karibu ningekubatua na bonge la banzi, Dume zima unakuwaje muoga??.
 
Niwaibie siri vijana
Waliojenga nyumba wala hawaishi maisha mazuri kupitia hizo nyumba zao.
Ukiwa na pesa unaweza kumtuma vocha dukani mama mwenye nyumba na baba mwenye nyumba anashingilia
Hawatakuelewa mkuu, kujenga nasupport sana, ila usijengee kichache ulicho nacho huo ni unaaa, unaishi kajumba kazuri yes, fensi safi yes, vigae yes ila mfukon empty, huna mradi wa kuingiza kipato unaa.

Jifunze kwa wahindi wamepanga National housing pale Kariakoo, Tazara tena zimechoka full masizi, ila miradi waliyo nayo hawana njaa njaa! Wanaridhisha biashara tu kizazi kwenda kizazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilianza ujenzi 2012 nikiwa na age ya 35, nikahamia 2015 ikiwa bado haijakamilika kwa sasa nimeikamilisha kwa asilia 98. Mpaka ilipofikia imeshatumia 50m plus mapaka sasa.

Nikapata 15m itakamilika kwa kiwango nilichopanga.

Nategemea 2025, nianze ujenzi wa nyumba ya kupangisha Dodoma, lengo niwe na nyimba 2 za kupangisha
 
Mungu aendelee kukupa uimara na wepesi. Hongera mkuu.
 
Kujenga ni uoga wa maisha..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh kwani ulijenga kwenye mtaa wa vibaka?+
 
Nategemea mwakani nikistaafu,,
 
Unaongelea nyumba au kibanda cha kujihifadhi? Nyoosha maelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…