Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIP mwamba . Hawa waliobaki na jukumu lako wameanza kuokoteza wachezaji wa mafungu kuwaleta eti kwenye majaribio. Japo usajili ni kamari lakini sikumbuki wakina Okwi, Chama, Luis, Enock, Sakho (nikiwataja wachache) walifanyiwa majaribio lini kabla ya kusajiliwa Simba.RIP Scout Wetu Hanspope
Kiukweli kabisa Mukoko ni mchezaji mzuri lakini kwa aina ya falsafa ya uchezaji wa Simba hataweza kuwika pale Simba. Falsafa ya Simba pale kwa kiungo mkabaji ni kugawa mipira pande zote za uwanja kwa muda wote wa mchezo kama mpishi anavyogawa pilau kwenye Maulid huko uswahilini kitu ambacho kitamuwia vigumu sana Mukoko kuweza kufanya jukumu hilo kwa ufanisi. Na mbaya zaidi Mkude ghafla tu yupo "on fire" na Lwanga yupo mbioni kurudi baada ya majeraha kwa hiyo anachotaka Mukoko kukikimbia Yanga atakutana nacho Simba mara mbili yake zaidi maana atakalia mbao ndefu mpaka sugu zimtoke.Naona makolo mnajifariji humu,kwanza mukoko aondoki Yanga bado yupo kwenye mipango ya kocha nabi,mukoko mkataba wake unaisha july hope hapa kati ataongeza mkataba maana mazungumzo yanaendelea vizuri,halafu kingine makolo wanajitoa ufahamu na kumdharau mukoko mchezaji ambaye anatoka taifa lenye wachezaji zaidi ya 100 wanaocheza ulaya na bado mchezaji huyo akapenya kuitwa kwenye timu ya taifa hilo chini ya mtaalam hector cuper,kocha wa kiwango kama kile amuone mukoko halafu kolo wa mpitimbi ndani ndani huko anakuja kutoa mashudu hapa eti mukoko wa kawaida,kuna baadhi wa makolo wanahitajika mirembe aisee
Kiuhalisia simba bado haijafikia level ya as vita mpira wao hata kama mliwatoa cl,kipindi ambako mukoko alikua sehemu ya kikosi,unadiliki kabisa kusema kumsajili mukoko ni matumizi mabaya ya wachezaji wa kigeni,yan mukoko unamuweka kundi 1 na kina duncan nyoni,mduhwa,lokosa,chikwede n.k,mukoko yuko camp ya drc national team muda huu mkuu,mpe heshima yake mukokoKiukweli kabisa Mukoko ni mchezaji mzuri lakini kwa aina ya falsafa ya uchezaji wa Simba hataweza kuwika pale Simba. Falsafa ya Simba pale kwa kiungo mkabaji ni kugawa mipira pande zote za uwanja kwa muda wote wa mchezo kama mpishi anavyogawa pilau kwenye Maulid huko uswahilini kitu ambacho kitamuwia vigumu sana Mukoko kuweza kufanya jukumu hilo kwa ufanisi. Na mbaya zaidi Mkude ghafla tu yupo "on fire" na Lwanga yupo mbioni kurudi baada ya majeraha kwa hiyo anachotaka Mukoko kukikimbia Yanga atakutana nacho Simba mara mbili yake zaidi maana atakalia mbao ndefu mpaka sugu zimtoke.
Hata ikitokea viongozi wa Simba wakataka kumsajili Mukoko itakuwa ni matumizi mabaya ya nafasi za wacheaji wa kigeni. Kosa ambalo sidhani kama viongozi wa Simba wanaweza kufanya wakati huu.
Mukoko ni universal, anaweza kuoffer kitu zaidi ya kimoja uwanjani. Anaweza kucheza kama kiungo wa chini au wa juu. Pia najua kufunga. Lini mzamiru na mkude walifunga? Lini waliassist? Hayo yote Mukoko anakuoffer . Mukoko atasalia Yanga au ataenda Arabuni.Kiukweli kabisa Mukoko ni mchezaji mzuri lakini kwa aina ya falsafa ya uchezaji wa Simba hataweza kuwika pale Simba. Falsafa ya Simba pale kwa kiungo mkabaji ni kugawa mipira pande zote za uwanja kwa muda wote wa mchezo kama mpishi anavyogawa pilau kwenye Maulid huko uswahilini kitu ambacho kitamuwia vigumu sana Mukoko kuweza kufanya jukumu hilo kwa ufanisi. Na mbaya zaidi Mkude ghafla tu yupo "on fire" na Lwanga yupo mbioni kurudi baada ya majeraha kwa hiyo anachotaka Mukoko kukikimbia Yanga atakutana nacho Simba mara mbili yake zaidi maana atakalia mbao ndefu mpaka sugu zimtoke.
Hata ikitokea viongozi wa Simba wakataka kumsajili Mukoko itakuwa ni matumizi mabaya ya nafasi za wacheaji wa kigeni. Kosa ambalo sidhani kama viongozi wa Simba wanaweza kufanya wakati huu.
Makolo hawanaga akili,yaani wamlinganishe Mukoko na Mkude wa Muhimbili au asiyejua mpira zaidi ya rafu Lwanga?Mukoko ni universal, anaweza kuoffer kitu zaidi ya kimoja uwanjani. Anaweza kucheza kama kiungo wa chini au wa juu. Pia najua kufunga. Lini mzamiru na mkude walifunga? Lini waliassist? Hayo yote Mukoko anakuoffer . Mukoko atasalia Yanga au ataenda Arabuni.
Sijaelewa, Mkude anahitaji viungo wenye sifa hiyo ili iweje?... Mkude ni mzuri sana ila anaitaji viungo wenye nguvu sawa na yeye wasiochoka ili kupambana mwanzo mwisho.
Huyo Mikoko akisajiliwa baada ya miezi mitatu majeruhi, kabla ya kumsajili Mukoko ongeeni na Mkude kwani mpaka sasa Lwanga majeruhi, yule mbrazil nae majeruhi.Kwanza niwe muwazi mimi ni shabiki wa Simba SC haswa. Sasa hatari ninayoiona kwa musimu huu wa ligi kuu, ni ubora alionao mtani wetu Yanga SC, bila unafiki na ushabiki hakika Yanga wanakikosi cha kutisha mpaka na hofu nani wa kuweza kumzuia hasichukue ubingwa.
Kibaya zaidi ninachokiona mbele yetu ni Kichapo tutapewa na Yanga na ubingwa watachukua.
Hilo litakuwa jambo baya sana sisi mashabiki wa Simbab SC kupigwa na mtani na uingwa kunyang'anywa.
Lakini ninaona bado wanasimba tuna muda wa kuzuia mojawapo au yote yasitokee.
Udhaifu wa Simba upo sana sehemu ya katikati hasa baada ya Thadeo Luanga kuumia.
Mkude ni mzuri sana ila anaitaji viungo wenye nguvu sawa na yeye wasiochoka ili kupambana mwanzo mwisho.
Pendekezo la Kwanza ni:
1. TONOMBE MUKOKO
HUyu jamaa ni bonge la kiungo ambaye kule utupoloni hapewi tena nafasi baada ya majukumu yake kuwa covered na wachezaji wengi tu. Simba muwekeeni mzigo huyu jamaa ahamie msimbazi. Itakuwa partnership nzuri endapo MUKOKO, MKUDE NA LUANGA AU KANOUTE wanaanza kwenye game.
2. AMBROS wa Biashara United
Viongozi wa Simba mtafuteni huyu mwamba anajua kupiga ma cross hatar sana halafu ana upepo wa kutosha. Hii wingi sio ya kuicha,
3. ANUARY JABIR wa Dodoma jiji
Tuongeze idadi ya washambuliaji kwenye kikosi chetu. Huyu kijana ana mwili wa kutosha ana kimbia sana tudimuache huyu kijana kwenye msimu huu wa dirisha dogo la usajiri.
Najua viongozi wangu mnaenda kufanya usajiri msije mkafanya tena makosa ya kutuletea watoto wa shule kama BANDA, kumbukeni tunaitaji kutetea ubingwa wetu.
Wachezaji mnaoweza kuachana nao kwenye dirisha hili ni JOHN BOCO, BANDA, KOPE KISHIMBA, PASCAL WAWA.
ASANTENI