Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
HT:
JKT 0 - 3 Simba SC
⚽️ Kagere 03' Minutes
⚽️ Mugalu 05' Minutes
⚽️ Kagere 40' Minutes
JKT 0 - 3 Simba SC
⚽️ Kagere 03' Minutes
⚽️ Mugalu 05' Minutes
⚽️ Kagere 40' Minutes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma mzeeHalf time 0-3
Nawaona Uto wanaongoza kwa muda.View attachment 1589888
Asanteeeeeee.HT:
JKT 0 - 3 Simba SC
[emoji460]️ Kagere 03' Minutes
[emoji460]️ Mugalu 05' Minutes
[emoji460]️ Kagere 40' Minutes
Pia umemkosea, hyu Bwalya nisawa na viungo timu zote za ligi kuu, isipokuwa Chama.
Joanah, nimekumisHahahahh Uto nao walikuwa wanaongoza eti
Kweli mkuu...ubora ndo unaamua hapo...pesa..pesa..pesa!Tunateseka sana, Ila mambo yanaenda tu kwasababu tunaongoza.
aione @H.Kigwangala aache shobo na sisiMO hizo Billion 20 hatuzitaki kaa nazo hukohuko bana.
Maana tunashindwa kuifaidi hii biriani.Daah dakika zinaenda fasta,Simba wawekewe dakika 60 yaani FT 120. Nchi ipate raha
Naongea na nani tafadhali?🤣🤣Joanah, nimekumis
[emoji23][emoji1787]Kwa pira hili Yanga wanaweza kumtimua kocha wanayemfikiria kumpa mikoba
Utakuwa unaongea na Simu.Naongea na nani tafadhali?[emoji1787][emoji1787]
HaahahahhPia umemkosea, hyu Bwalya nisawa na viungo timu zote za ligi kuu, isipokuwa Chama.