Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa yenu inakaribia kupata moto, mtaimeza October 18sasa umekua
Wanyanyua vyuma,Usije ukarusha ngumi , manake nyie yanga hamchelewi
Li JKTJitu linapapaswa 4 bila
Ivi tutakatwa point ngapi ?! Maana namuona anacheza tu.baada ya miamala kwa morrison na ahadi kedekede kuogopa aibu. kumbuka mwaka jana nimechukua pointi 4 kwako
chama gani cha mpira hili ambacho kiliruhusu hadi timu kuwa na viporo 13Ivi tutakatwa point ngapi ?! Maana namuona anacheza tu.
Usijali tarehe 18 tunapuliza spray tenando tabia zenu ndo maana nje mnashindwa fanya la maana mnabaki wavizia wakija bongo mnatumia spray kupulizia vyumbani . wazee wa rungu spray
chama gani cha mpira hili ambacho kiliruhusu hadi timu kuwa na viporo 13
Kwikwikwidaah unainjoi kuliko hata sisi wenye Simba.
lini yanga amewahi kuwa na viporo 5 kuendeleaSimba akiwa na viporo mlielie, Yanga akiwa na viporo mnaonewa, mna matatizo gani watani!!
Naona jambo lenu limetimia [emoji3][emoji3][emoji3]Jkt tuna jambo letu
Siku mbaya tu mkuuHuyu Dilunga asipoangalia atakula bench sana
vipi yule mrembo wa yanga unamzungumziaje mbele ya maquinini alopiga la nneWayaaaaaaaaaaaaa ⚽
JKT 0 - 4 Simba SC
⚽ Kagere 03' Minutes
⚽ Mugalu 05' Minutes
⚽ Kagere 40' Minutes
⚽ Konde Boy 53' Minutes
Sijui kwanini kampa kadi Luis halafu anapeta rafu wakichezewa SimbaKwanin mkuu.?!