OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Goli za Simba sawa na point za Yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua Mara nyingi timu ikishinda mengine husahaulika.Sijui kwanini kampa kadi Luis halafu anapeta rafu wakichezewa Simba
Hatukatwi pointi zaidi ya faini na mkataba kurekebishwaIvi tutakatwa point ngapi ?! Maana namuona anacheza tu.
Mapemaaa !TAYARI TUMESHAWAKERA
Oooh nice,Hatukatwi pointi zaidi ya faini na mkataba kurekebishwa
Hata mkude naye ajiangalieHuyu Dilunga asipoangalia atakula bench sana
Ujio wa Bwalya, unawaumbua wachezaji wengi wa kibongo juu ya uwezo wake.Hata mkude naye ajiangalie
Vyura hata aibu hamna ?[emoji3][emoji3][emoji3]Mikia Fc mmenunua Mechi
Yani wanakera kwakweli.
Ila pole mkuu.chama gani cha mpira hili ambacho kiliruhusu hadi timu kuwa na viporo 13
Te te te naon mpak saa tat wap nafas ya 3Nawaona Uto wanaongoza kwa muda.View attachment 1589888
EwalaaaaaaTe te te naon mpak saa tat wap nafas ya 3
Labda ligi ya kubeba watu AirportHivi Vyura bado wanaongoza Ligi?
Round sjui watamtimua nani[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ewalaaaaaa
Kaa kwa amani uto hakuna mwanasimba atakayekupiga hata njiti ya kiberiti.Nimo Jamhuri nawaangalia hawa JKT wanavyouza mechi...
Ha ha ha, nimeipenda.Kaa kwa amani uto hakuna mwanasimba atakayekupiga hata njiti ya kiberiti.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app