Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Unajua chadema wanajirusha mitandaoni kama wamekatwa vichwa ndiyo maana uungwaji mkono wa Lissu unazidi kupungua kwa kasi ya SS kwenye mikutano yake.mfano SHY TOWN, TABORA NA LEO DODOMA.Mnatetea hoja zenye mashaka mbele ya wapiga kura. Badala ya kumjenga mnambomoa kwa kupalilia ujuha.Mawazo yenu mnajidanganya kuwa mitandaoni mmejifichaHizi ndizo naita akili za kikojozi. Lissu alikuwa anazungumzia ndege katika muktadha tofauti kabisa. Hata siku moja hakuwa kusema tusiwe na ndege yoyote nchini kwetu. Alikuwa anazungumzia huu ununuzi wa ndege za ATC bila mipangilio yoyote. Wewe ni mfano mzuri sana wa akili za wahitimu wa hizi shule za kata za Bongo. Wahitimu wengi walikuwa wanakariri hivyo jambo dogo tu la kutafakari linawashinda.
Jiwe ameanza jana kuwashikisha adabu ili siku nyingine mkome kujilinganisha naye leo kawapiga goli la pili pale simiyu,kesho mtakipata cha moto mkendo stadium, atakapoingia viwanja vyake pale rocky city mtapigwa goli la nne.Chezea hengine siyo lake zone . Lissu walimpokea pale furahisha akazani amechukua nchi. Jiandaeni kujificha kuanzia kesho.Poleni kwa weekend mbaya yenyeKatika vitu ambavyo CCM wamewakosea watanzania ni kumpa nchi Jiwe , huku wakijua kabisa kwa kuonywa na kuelezwa Haiba yake na historia yake , eti nchi ina uwt mhutu anachukuaje nchi ? Usalama wa Taifa nchi inakabidhiwa mikononi mwa mhutu yapo tu yanaangalia.
Wajinga bado wapo. Siku hizi ni zama za Sayansi na Teknolojia. Si kama ilivyokuwa miaka ya zamani.
Chukua mfano wa Marais kama Trump,Xi Jinping, Vladmir Putin nk tangu waingie madarakani wamefanya safari ngapi za kwenda nje ya Nchi zao?
Siku hizi ukitaka kufanya biashara na Nchi yoyote ile siyo lazima kwenda kufanya majadiliano huko. Kuna njia nyingi za mawasiliano.
Ukweli mchunguNi jambo la wazi kabisa kwamba heshima ya Tanzania kimataifa imepotea ktk kipindi hiki cha awamu ya 5.
Rais wa Nchi ndiye mwanadiplomasia nambari one wa nchi yake, na ktk hili tuwe wakweli kwamba tumepungukiwa.
Tatizo la kwanza liko ktk uwakalilishi. Rais wetu amekuwa hahudhurii vikao muhimu vya Jumuiya za kikanda ambazo Tanzania ni mwanachama.
Kwa mfano, sidhani kama JPM amewahi kuhudhuria mkutano zaidi ya mmoja wa SADC uliofanyika nje ya Tanzania.
Tanzania ni kati ya nchi waasisi wa SADC, na tunapakana na nchi nne wanachama wa SADC. Ni muhimu sana kuwachukulia majirani na ndugu zetu hawa kwa umuhimu mkubwa.
Kwa upande wa OAU, JPM amehudhuria mkutano mmoja tu uliofanyika Addis Ababa. Pia Jpm hajawahi kuhudhuria mkutano wa kila mwaka wa UN unaofanyika New York.
Kwa hiyo tatizo la kwanza na muhimu kuliko yote ni mahudhurio yasiyoridhisha hata kidogo.
Tatizo la pili, ni kwamba pale ambapo amehudhuria hotuba zake na uwakilishi wake umekuwa wa kiwango cha chini. Mfano mzuri hapa ni hotuba na hoja alizotoa wakati wa mkutano wa SADC. Ni jambo la kusikitisha kwamba baadhi ya kauli alizotoa ni zile zinazosababisha " miguno " kwa wale wasikilizaji.
Kwa kweli tunahitaji Rais ambaye ana kipaji, weledi, historia, na haiba, ya kurudisha heshima ya Tanzania ktk mawanda ya kimataifa. Tanzania ni taifa changa lakini tuliheshimika kutokana na uwakilishi thabiti na wa viwango wa wana-diplomasia namba one wa nchi hii kama wakati wa Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Ben Mkapa, na Mzee Jakaya Kikwete.
Katika safu inayojumuisha Dr.John Magufuli, Mh.Bernard Membe, Prof.Ibrahim Lipumba, Mh.Tundu Lissu, na Mh.Yeremia Maganja, ni yupi atarejesha heshima ya Tanzania kimataifa?
Kwa maoni yangu ni Tundu Antiphas Lissu.
cc Nguruvi3, Kilatha, Mag3, Erythrocyte , Molemo, tindo
Sasa ni Zamu ya Tundu Lissu kulindima kwenye vyombo vya kimataifaNi jambo la wazi kabisa kwamba heshima ya Tanzania kimataifa imepotea ktk kipindi hiki cha awamu ya 5.
Rais wa Nchi ndiye mwanadiplomasia nambari one wa nchi yake, na ktk hili tuwe wakweli kwamba tumepungukiwa.
Tatizo la kwanza liko ktk uwakalilishi. Rais wetu amekuwa hahudhurii vikao muhimu vya Jumuiya za kikanda ambazo Tanzania ni mwanachama.
Kwa mfano, sidhani kama JPM amewahi kuhudhuria mkutano zaidi ya mmoja wa SADC uliofanyika nje ya Tanzania.
Tanzania ni kati ya nchi waasisi wa SADC, na tunapakana na nchi nne wanachama wa SADC. Ni muhimu sana kuwachukulia majirani na ndugu zetu hawa kwa umuhimu mkubwa.
Kwa upande wa OAU, JPM amehudhuria mkutano mmoja tu uliofanyika Addis Ababa. Pia Jpm hajawahi kuhudhuria mkutano wa kila mwaka wa UN unaofanyika New York.
Kwa hiyo tatizo la kwanza na muhimu kuliko yote ni mahudhurio yasiyoridhisha hata kidogo.
Tatizo la pili, ni kwamba pale ambapo amehudhuria hotuba zake na uwakilishi wake umekuwa wa kiwango cha chini. Mfano mzuri hapa ni hotuba na hoja alizotoa wakati wa mkutano wa SADC. Ni jambo la kusikitisha kwamba baadhi ya kauli alizotoa ni zile zinazosababisha " miguno " kwa wale wasikilizaji.
Kwa kweli tunahitaji Rais ambaye ana kipaji, weledi, historia, na haiba, ya kurudisha heshima ya Tanzania ktk mawanda ya kimataifa. Tanzania ni taifa changa lakini tuliheshimika kutokana na uwakilishi thabiti na wa viwango wa wana-diplomasia namba one wa nchi hii kama wakati wa Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Ben Mkapa, na Mzee Jakaya Kikwete.
Katika safu inayojumuisha Dr.John Magufuli, Mh.Bernard Membe, Prof.Ibrahim Lipumba, Mh.Tundu Lissu, na Mh.Yeremia Maganja, ni yupi atarejesha heshima ya Tanzania kimataifa?
Kwa maoni yangu ni Tundu Antiphas Lissu.
cc Nguruvi3, Kilatha, Mag3, Erythrocyte , Molemo, tindo
NI YEYE!Ni jambo la wazi kabisa kwamba heshima ya Tanzania kimataifa imepotea ktk kipindi hiki cha awamu ya 5.

Kwanza huyo tundulisu wenu atuambie yeye na chadema yake yote kwa ujumla, jeee naowameungana na MAGUFULI kwamba korona imeisha Tanzania?Ni jambo la wazi kabisa kwamba heshima ya Tanzania kimataifa imepotea ktk kipindi hiki cha awamu ya 5.