Katika watu waliopungukiwa na akili dudu baya ni namba moja

Katika watu waliopungukiwa na akili dudu baya ni namba moja

Wewe muongezee tu hiyo akili maana hapa kila mmoja zinamtosha mwenyewe tu!kama huna za kumbust mpotezee.
 
Heshima yako bibi kifimbo cheza ki ukweli tumekumisi mama.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha masihara na wazee wa jf...hawa wanaheshimika sana humu...ni kama wastaafu kwa hyo wanakula kinuua mgongo cha 25%
 
Hapa palipofikia makundi mawili tu ya watu ndo yata survive na kuinjoy,
1. kundi la wasio na akili ila wameamua kua wanafki kupita kiwango
2. Kundi la walio smart kichwani na wataalam wakupangua changamoto wenyewe bila lawana na visingizio vya kushndwa

Makundi mawili yanayoelekea kufa kbsa
1. Wazee wa kudanga/mizinga na wajanja wajanja wa kihuni.
2. Wale wazee wa kusubr ma gap na wenye imani ya kua kutesa n kwa zamu, pasipo kujua ya kua unaweza ule msoto kuanzia unatoka kiunoni mpk unazama shimoni tena na dhambi za kutosha juu.
 
Back
Top Bottom