Katika watu waliopungukiwa na akili dudu baya ni namba moja

Ulitumbuliwa nini? Maana unaongea utumbo.
Bora niongee utumbo kwa Uhuru kuliko wewe unaelipwa buku saba per day ushinde mitandaoni kumsifu na kumwabudu jiwe
 
Wewe na dudu baya mlijuana katika mazingira gani?
Dudubaya ni mkongwe kwenye bongo fleva kama alivyo sugu enzi zile akiitwa 2 proud,anazo nyimbo maarufu tu na zili hit sana enzi hizo,sijawahi kumuona live ila napenda nyimbo zake,una swali lingine?
 
Dudubaya yupo kwenye game kitambo sana,tatizo hivi vidot.com ndio vimemjua siku hizi tu kwenye hili sakata la kutaja mashoga.
Huko kwenye game kitambo
Ni mafanikio gani aliyonayo mpaka sasa hadi anajifanya kuweka bifu kwa clouds?
Mkongwe kwenye game amekua mlamba viatu Wa Naseeb

Badala ajikite kwenye kazi yake yeye kutwa nzima Instagram kupambana na clouds
 
Akili zako ziko tumboni
Unafikiri kila MTU ana njaa kama wewe?
Kumbe na taarabu unaimba pia? nilidhani ni bingwa wakufuatilia maisha ya watu tu,wewe ingekua akili zako zipo kichwani usingehangaika kufuatilia maisha ya watu.
 
Huko kwenye game kitambo
Ni mafanikio gani aliyonayo mpaka sasa hadi anajifanya kuweka bifu kwa clouds?
Mkongwe kwenye game amekua mlamba viatu Wa Naseeb

Badala ajikite kwenye kazi yake yeye kutwa nzima Instagram kupambana na clouds
Kua na akili ya uelewa japo kidogo tu,kua kitambo kwenye game na kua na mafanikio ni vitu viwili tofauti,sijaongelea mafanikio yake,una umri gani kwanza? isije ikawa napoteza muda na kitoto cha shule!
 
Kumbe na taarabu unaimba pia? nilidhani ni bingwa wakufuatilia maisha ya watu tu,wewe ingekua akili zako zipo kichwani usingehangaika kufuatilia maisha ya watu.
Dudu baya nae anamaisha ya kufuatiliwa😂😂😂😂😂😂😂

Kweli we nae mwezi mchanga
 
Kua na akili ya uelewa japo kidogo tu,kua kitambo kwenye game na kua na mafanikio ni vitu viwili tofauti,sijaongelea mafanikio yake,una umri gani kwanza? isije ikawa napoteza muda na kitoto cha shule!
Sasa we hujui hata unachoandika
Soma post uielewe kwanza
 
Sasa we hujui hata unachoandika
Soma post uielewe kwanza
Wewe ndiye usiyejua unachokiandika,umeanzisha thd ya kumsema Dudubaya kuitukana clouds halafu unabadili gia angani na kuanza kuhoji mafanikio yake kimaisha!

Mimi simsapoti kuitukana clouds ila point yangu ni kwamba Dudubaya yupo kwenye game kitambo na anazo nyimbo nzuri tu,issue ya mafanikio yake ya kimaisha ni issue nyingine ambayo mimi hainihusu,ninachofuatilia ni mziki wake tuu,hiyo kazi ya kufuatilia maisha ya watu nakuachia wewe uliyehoji mafanikio yake kimaisha!
 
Nimekupuuza
 
Back
Top Bottom