Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dudubaya yupo kwenye game kitambo sana,tatizo hivi vidot.com ndio vimemjua siku hizi tu kwenye hili sakata la kutaja mashoga.
Hakuna wa kuabudiwa isipokuwa Allah.Bora niongee utumbo kwa Uhuru kuliko wewe unaelipwa buku saba per day ushinde mitandaoni kumsifu na kumwabudu jiwe
Dudubaya ni mkongwe kwenye bongo fleva kama alivyo sugu enzi zile akiitwa 2 proud,anazo nyimbo maarufu tu na zili hit sana enzi hizo,sijawahi kumuona live ila napenda nyimbo zake,una swali lingine?Wewe na dudu baya mlijuana katika mazingira gani?
Huko kwenye game kitamboDudubaya yupo kwenye game kitambo sana,tatizo hivi vidot.com ndio vimemjua siku hizi tu kwenye hili sakata la kutaja mashoga.
Kumbe na taarabu unaimba pia? nilidhani ni bingwa wakufuatilia maisha ya watu tu,wewe ingekua akili zako zipo kichwani usingehangaika kufuatilia maisha ya watu.Akili zako ziko tumboni
Unafikiri kila MTU ana njaa kama wewe?
Kua na akili ya uelewa japo kidogo tu,kua kitambo kwenye game na kua na mafanikio ni vitu viwili tofauti,sijaongelea mafanikio yake,una umri gani kwanza? isije ikawa napoteza muda na kitoto cha shule!Huko kwenye game kitambo
Ni mafanikio gani aliyonayo mpaka sasa hadi anajifanya kuweka bifu kwa clouds?
Mkongwe kwenye game amekua mlamba viatu Wa Naseeb
Badala ajikite kwenye kazi yake yeye kutwa nzima Instagram kupambana na clouds
Sasa we hujui hata unachoandikaKua na akili ya uelewa japo kidogo tu,kua kitambo kwenye game na kua na mafanikio ni vitu viwili tofauti,sijaongelea mafanikio yake,una umri gani kwanza? isije ikawa napoteza muda na kitoto cha shule!
Wewe ndiye usiyejua unachokiandika,umeanzisha thd ya kumsema Dudubaya kuitukana clouds halafu unabadili gia angani na kuanza kuhoji mafanikio yake kimaisha!Sasa we hujui hata unachoandika
Soma post uielewe kwanza
Kumbe umeanzisha thd ambayo hata wewe mwenyewe hujui ulichokiandika?!Dudu baya nae anamaisha ya kufuatiliwa😂😂😂😂😂😂😂
Kweli we nae mwezi mchanga
NimekupuuzaWewe ndiye usiyejua unachokiandika,umeanzisha thd ya kumsema Dudubaya kuitukana clouds halafu unabadili gia angani na kuanza kuhoji mafanikio yake kimaisha!
Mimi simsapoti kuitukana clouds ila point yangu ni kwamba Dudubaya yupo kwenye game kitambo na anazo nyimbo nzuri tu,issue ya mafanikio yake ya kimaisha ni issue nyingine ambayo mimi hainihusu,ninachofuatilia ni mziki wake tuu,hiyo kazi ya kufuatilia maisha ya watu nakuachia wewe uliyehoji mafanikio yake kimaisha!
Sio ajabu coz hata wewe mwenyewe umejipuuza kwa kuikana thd yako wewe mwenyewe! hii ni JF siku nyingine ukija uje kamili.Nimekupuuza
ataonekana wapi wakati utawala wa roma ndio umeshika hatamu? na si unajua yeye na roma ni maji na mafutaShikamooo!
Huonekani siku hizi bibi kulikoni?