cmoney
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 3,570
- 5,508
Mama naona nawe unasoma namba..sikusikii ukisifia fisiem= brand
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama naona nawe unasoma namba..sikusikii ukisifia fisiem= brand
Ulitumbuliwa wapi? Au vyeti?Bora niongee utumbo kwa Uhuru kuliko wewe unaelipwa buku saba per day ushinde mitandaoni kumsifu na kumwabudu jiwe
Fikra duni.ataonekana wapi wakati utawala wa roma ndio umeshika hatamu? na si unajua yeye na roma ni maji na mafuta
Ujuwe tunalipwa usijuwe za nini?Kwaiyo hizo buku saba huwa mnalipwa za nini?
Dudubaya ni mkongwe kwenye bongo fleva kama alivyo sugu enzi zile akiitwa 2 proud,anazo nyimbo maarufu tu na zili hit sana enzi hizo,sijawahi kumuona live ila napenda nyimbo zake,una swali lingine?
au umeokoka na kumpokea Yesu kuwa Mkombozi wako?Fikra duni.
Kama una marinda mikono Juuu, Konki konk konki master. Fiesta ya wasio na marinda nasikia iko Kawe. Watu wanashangilia mshiko unaingia.Dudu naye anamashabiki😂😂😂😂😂😂
Sijawai kuona mwanaume mwenye mambo ya kipumbavu kama huyu mpuuzi Anayejiita dudu baya,
WCB kumshika mkono huyu mdingi naona amechanganyikiwa kabisa
Kutwa nzima anashinda mtandaoni kutupa vijembe kwa Clouds Media
Mtu mwenyewe aliishafulia kitambo hata sioni anachokiimba eti na yeye anajiita msanii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti nako kadudubaya kanabifu na clouds hivi haka kadudubaya nako kana nini cha kushindana na clouds?
Kanabebwa na diamond halafu kama vile wastafi festival ni yakwake[emoji23][emoji23]
Hata diamond mwenyewe hatoi vijembe kwa clouds kwa kasi hivyo kama haka ka dudubaya
Sijui hata huko wasafi festival katakua kanaperform nyimbo gani?
Dudu baya wewe ulikua kwenye game kitambo likakushinda huna hata jambo lolote la maana ulilolifanya saivi umebaki kua mlamba viatu Wa diamond platinum
Nakushauri acha umbea pambana na Hali yako clouds is a big brand
Bumbavu
Mama la mama faizafoxy kubwa la maadui, kijukuu cha mtume, mpokea mafao wa jfUjuwe tunalipwa usijuwe za nini?
Punguani wahed.