Dada nilikukumbuka sana,ulipotelea wapi?= brand
Shikamooo!
Huonekani siku hizi bibi kulikoni?
Heshima yako bibi kifimbo cheza ki ukweli tumekumisi mama.Kila zama na kitabu chake.
..............Sasa wewe akili umeanza kuzipata 2009 utajuaje kama mashabiki wa Dudubaya tupo?Dudu naye anamashabiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umejichimbia geto unasomea ujinga sio ?Kila zama na kitabu chake.
Hili sio povu kali la omo jmn au mm naona vibaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha masihara na wazee wa jf...hawa wanaheshimika sana humu...ni kama wastaafu kwa hyo wanakula kinuua mgongo cha 25%Heshima yako bibi kifimbo cheza ki ukweli tumekumisi mama.
Upo?= brand
Nimekumiss sanaa!Kila zama na kitabu chake.
Hapa palipofikia makundi mawili tu ya watu ndo yata survive na kuinjoy,
1. kundi la wasio na akili ila wameamua kua wanafki kupita kiwango
2. Kundi la walio smart kichwani na wataalam wakupangua changamoto wenyewe bila lawana na visingizio vya kushndwa
Makundi mawili yanayoelekea kufa kbsa
1. Wazee wa kudanga/mizinga na wajanja wajanja wa kihuni.
2. Wale wazee wa kusubr ma gap na wenye imani ya kua kutesa n kwa zamu, pasipo kujua ya kua unaweza ule msoto kuanzia unatoka kiunoni mpk unazama shimoni tena na dhambi za kutosha juu.