Katika watu waliopungukiwa na akili dudu baya ni namba moja

Dudu naye anamashabiki😂😂😂😂😂😂
Kama una marinda mikono Juuu, Konki konk konki master. Fiesta ya wasio na marinda nasikia iko Kawe. Watu wanashangilia mshiko unaingia.
 

marinda aka soda bado hipo.wenzako wanatafuta pesa kwa usanii wewe una baki kuuliza
 
Nawaza hii Kik ya konk konk ikiisha atajificha wap....maan anafosi mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…