Katika wote waliooa watoto wa maraisi, ipi imekuvutia zaidi?

Katika wote waliooa watoto wa maraisi, ipi imekuvutia zaidi?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Kwa upande wangu ilionivutia zaidi kuliko hata hii ya kijana wa kisukuma,msomi,Mtu mashuhuri Isaya yunge kumuoa mtoto wa Ruto,

Ilionivutia zaidi ni ile ya Mwamba wa kimasai kumuoa mtoto wa raisi mwinyi.

Na ambayo Haina mvuto hata kwa muonekano wao ni wale __ na __ (sijataja mtu), msije mkanitumia kikosi kazi wazee
 
Mjishikilie kwenye huu uzi, msitaje watu majina, sasahivi ukishikwa unalowekwa kwanza kwenye pipa la mafuta ya kula umeremete kwanza halafu mengine ndio yafuate.
 
Back
Top Bottom