Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
- #21
Unaufahamu mchango wa Dr Taletale kwenye industry ya muziki?Wewe kama siyo mtoto wa miaka 17 basi una mtindio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaufahamu mchango wa Dr Taletale kwenye industry ya muziki?Wewe kama siyo mtoto wa miaka 17 basi una mtindio
Kwa nini unafikiri Dr Taletale hastahili udaktari wa heshimaJipeleke mirembe mwenyewe
Sasa haufahamu jinsi mchango wa Dr. Tale ulivyomkubwa hapa nchini. Katika wote waliopata Phd za heshima, yupi anamchango kumzidi Tale?Nilitak nikutu
Nilitak nikutukane ila haina maan nikakumbuk hizi honorary doctorate hata marekani wakina
1.denzel Washington
2.puff Diddy
3.mark Zuckerberg
4.0prah Winfrey n.k
Wanazo hizi heshima kutok vyuo mbalimbali marekani na nikuelez tu kwamb hii Ni heshima anapewa mtu alieleta changes or transformation in a community
N.b. Hawa watu hapo juu walitunukiwa na vyuo, hawakununua Wala kushinikiza kupewa hzo awards.
Hujaona mziki wa WCB ulivyotutangaza kimataifa? Hujaona watu waliopata ajira kupitia WCB na hata Tip Top? Unaweza usikubaliane na itikadi za Tale, lakini mchango wake ni wa kustahili Phd kabisa.Vimeleta impact gani kwa taifa na kimataifa
Kwani babu tale kafsnya nini? Ungetujuza basi. Naona speaker leo kawapasha hawa kina diallo wanunuzi wa Phd toka vyuo feki wauza vyeti.Ajabu anayestahili zaidi kupata PhD ya heshima ndiye anayesakamwa zaidi. Mambo aliuofanya Tale WCB na kwa kina Dogo Janjq, anastahili PhD kuliko maprofesa na madoctor wanaopeana huko majalalani.
Hata JK na Samia hawastahili Phd ya heshima kama Dr Taletale.
Mimi npo 50/50 kwny hoja yako, maan inasemekan Hawa wananunua tu hzo phdSasa haufahamu jinsi mchango wa Dr. Tale ulivyomkubwa hapa nchini. Katika wote waliopata Phd za heshima, yupi anamchango kumzidi Tale?
Kweli wananunua. Na wengi wao hawastahili kabisa, kama Msukuma na Abood. Wanaona ni prestige kuitwa maDR. Lakini Taletale hata kama amenunua, anaistahili. Anaistahili kuliko hata Samia na JKMimi npo 50/50 kwny hoja yako, maan inasemekan Hawa wananunua tu hzo phd
Ila kwann Hawa wabunge wa la saba tu wanashobokea Tena kwa kununua
Kufanya tu vizuri kwenye taaluma yako siyo kigezo. Ufanye kitu kikubwa na cha tofauti sana. Uazniswai na ukuaji wa WCB ni kitu kikubwa sana.Wangepewa Master J na P Funk kweli huyo asiyejua hata kuongea kiswahili vzr mbona kichekesho
True naunga mkono hoja .labda amepewa kwa ajili ya kutuwekea tozo who knowsAjabu anayestahili zaidi kupata PhD ya heshima ndiye anayesakamwa zaidi. Mambo aliuofanya Tale WCB na kwa kina Dogo Janjq, anastahili PhD kuliko maprofesa na madoctor wanaopeana huko majalalani.
Hata JK na Samia hawastahili Phd ya heshima kama Dr Taletale.
ona alivyong'ata ulimi baada ya kuombwa arudie