Katika wote waliopata PhD za heshima, hakuna anayeistahili kama Babu Tale

Katika wote waliopata PhD za heshima, hakuna anayeistahili kama Babu Tale

Ajabu anayestahili zaidi kupata PhD ya heshima ndiye anayesakamwa zaidi. Mambo aliuofanya Tale WCB na kwa kina Dogo Janja, anastahili PhD kuliko maprofesa na madoctor wanaopeana huko majalalani.

Hata JK na Samia hawastahili PhD ya heshima kama Dr Taletale.
Wewe hata hujui PhD ni shahada au tuzo ya aina gani😂🤣
 
Kuwa Rais na kutumikia umma si kigezo cha kupewa digrii ya heshima. Hata watu kama Iddi Amin, Bokassa na Franco Nguema walikuwa viongozi wa nchi. Tena JK aliesema hajui kwa nini nchi yake ni Masikini na ambaye utawala wake ulijaa mafisadi anatakiwa kupokonywa hata ile digrii yake moja.
Mimi nimeonesha contribution ya JK na position yake kwa ufupi plus his status hadhi yake ukilinganisha na babu tale tale!
Swala la kumpa PhD Ni Senate ya respective University inakaa na kuaward based on the set criteria ambazo Mimi na wewe hatuzijui!

Sasa PhD ya Dola 2500 USD unataka tukupe heshima Kama Huyo alipewa na Institution based on the set criteria na hata status hazifanani? Mkuu punguza ujinga kidogo watoto wako watasoma ulichoandika!
Hata PhD ya maganda ya Korosho iliyogharimu Maisha ya Ben Sanane kulikua na ufisadi wa kutosha kuliko awamu zilizopita kwa pamoja!
Lakini hatukusema tumpore ingawa kwenye Makabati ya UDSM haipo, na Ni ajabu mtu ambaye sio full time student kusoma PhD for two years!
 
Ningekua na uwezo wa kusafirisha makofi ningekutumia kontena. Yani wiki nzima kila unavyohema unayaoga. Uso ungechanika huo.

Wewe una miliki simu ina akili kuliko wewe!! Inakataa hadi kuandika vilivyonyooka inaweka spelling mistakes bado umo tu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ajabu anayestahili zaidi kupata PhD ya heshima ndiye anayesakamwa zaidi. Mambo aliuofanya Tale WCB na kwa kina Dogo Janja, anastahili PhD kuliko maprofesa na madoctor wanaopeana huko majalalani.

Hata JK na Samia hawastahili PhD ya heshima kama Dr Taletale.
Mbunge wa huko Tanga mh Rashid Shangazi amesema PhD zinauzwa kama njugu kwani yeye binafsi aliambiwa atoe US Dollar 1500 atunukiwe.

Shangazi amesema Dola 50 ni Usajili, Dola 550 Doctorate degree yenyewe, Dola 250 Joho na vitu vinginevyo Jumla kuu inafika Dollar 1500.

Mh Shangazi amesema ukiwa na US Dollar 1500 faster unakuwa Dr Rashid Shangazi.

Source Jambo TV
 
Ajabu anayestahili zaidi kupata PhD ya heshima ndiye anayesakamwa zaidi. Mambo aliuofanya Tale WCB na kwa kina Dogo Janja, anastahili PhD kuliko maprofesa na madoctor wanaopeana huko majalalani.

Hata JK na Samia hawastahili PhD ya heshima kama Dr Taletale.
PhD ya kilaza Babu Tale ni ya kununua.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom