sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Warejee kwa JK wa kwanza, alipewa PhD ya Sheria na chuo cha Edinburgh lakini hakuwahi kujiita Dokta.Hizo PhD ni award tu na wala kwenye CV hazikai kwenye section ya education history.
Na utaratibu aliyepewa hapaswi kiiongeza kwenye jina lake sema wabongo wakipata basi wanataka watambulike kama vile wamesomea