Katika wote waliopata PhD za heshima, hakuna anayeistahili kama Babu Tale

Hizo PhD ni award tu na wala kwenye CV hazikai kwenye section ya education history.
Na utaratibu aliyepewa hapaswi kiiongeza kwenye jina lake sema wabongo wakipata basi wanataka watambulike kama vile wamesomea
Warejee kwa JK wa kwanza, alipewa PhD ya Sheria na chuo cha Edinburgh lakini hakuwahi kujiita Dokta.
 
Huyo kijana mdogo tu wako wakongwe wa hizo kazi. Bora hata marehemu Ruge angepewa
 

Attachments

  • images (21).jpeg
    35.7 KB · Views: 4
Kikwete na viongozi wengi hamna kitu. Huwa wanaenda tu ilimradi mihula yao iishe salama na wao kujitajirisha tu.
 
Hana tofauti na Dr Chinga anayeuza mitumba pale Kariakoo.
 
toa comparative advantage kwa ushahidi kwa hayo unayosema badala ya kutoa kauli za jumla

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Hujaona mziki wa WCB ulivyotutangaza kimataifa? Hujaona watu waliopata ajira kupitia WCB na hata Tip Top? Unaweza usikubaliane na itikadi za Tale, lakini mchango wake ni wa kustahili Phd kabisa.
Miziki imejaa mitusi kila verse ndio inatutangaza?. Nani asiyeijua Tanzania mpaka tutangazwe na kina tale?.
 
PhD ya kusimamia wakata mauno

Ova
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜πŸ˜ Hatari sana.
Taifa linadhalilisha wasomi aisee, hizo phd fake ni za kupigwa maarufu. Mtu akiitaka aende kuisotea.
 
Na utaratibu aliyepewa hapaswi kiiongeza kwenye jina lake sema wabongo wakipata basi wanataka watambulike kama vile wamesomea.
Ajabu sana. Nyerere alipewa zaidi ya kumi, lakini hakuwahi kujiita Dr Nyerere. Hawa wa leo sasa...
 
Waliopewa wote mkiwapa karatasi wajitetee au kujieleza kwanini walipewa, hawana uwezo wa kuandika hata karatasi 2
 
Vigezo vingi ktk ajira vinataka ubobezi kwenye fani husika, ila ubobezi unasaidia mtu anapoajiriwa na taasisi zenye kutengeneza mipango,research na zenye kuandika paper at least masters ni muhimu.
sasa unamchukua mtu wa digrii moja hajui kuandika itakuwaje.
sema katika huo ubobezi ndiko zinakoibgia fake, lakini pia kwa vijana wengi siku hizi hasa wale vipanga wakimaliza tu digrii ya kwanza wanaunga kwenye ubobezi na inakua advantage kwao panapohitajika watu wa namna hiyo.
siku hizi digrii ya kwanza ktk ajira unabaki kua desk clerk tu.
wasomi ni wengi sana na ajira ni chache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…