Katika wote waliopata PhD za heshima, hakuna anayeistahili kama Babu Tale

Wewe hata hujui PhD ni shahada au tuzo ya aina gani😂🤣
 
Mimi nimeonesha contribution ya JK na position yake kwa ufupi plus his status hadhi yake ukilinganisha na babu tale tale!
Swala la kumpa PhD Ni Senate ya respective University inakaa na kuaward based on the set criteria ambazo Mimi na wewe hatuzijui!

Sasa PhD ya Dola 2500 USD unataka tukupe heshima Kama Huyo alipewa na Institution based on the set criteria na hata status hazifanani? Mkuu punguza ujinga kidogo watoto wako watasoma ulichoandika!
Hata PhD ya maganda ya Korosho iliyogharimu Maisha ya Ben Sanane kulikua na ufisadi wa kutosha kuliko awamu zilizopita kwa pamoja!
Lakini hatukusema tumpore ingawa kwenye Makabati ya UDSM haipo, na Ni ajabu mtu ambaye sio full time student kusoma PhD for two years!
 
Ningekua na uwezo wa kusafirisha makofi ningekutumia kontena. Yani wiki nzima kila unavyohema unayaoga. Uso ungechanika huo.

Wewe una miliki simu ina akili kuliko wewe!! Inakataa hadi kuandika vilivyonyooka inaweka spelling mistakes bado umo tu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mbunge wa huko Tanga mh Rashid Shangazi amesema PhD zinauzwa kama njugu kwani yeye binafsi aliambiwa atoe US Dollar 1500 atunukiwe.

Shangazi amesema Dola 50 ni Usajili, Dola 550 Doctorate degree yenyewe, Dola 250 Joho na vitu vinginevyo Jumla kuu inafika Dollar 1500.

Mh Shangazi amesema ukiwa na US Dollar 1500 faster unakuwa Dr Rashid Shangazi.

Source Jambo TV
 
PhD ya kilaza Babu Tale ni ya kununua.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…